Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

Ulimuahidi akuambie ukweli,kama hataki muachane. Keep your promise.

Keep your promise mzee.
nilitaka nimpe tu pressure ili aniambie,bila kumwambia ivo unadhani angesema ukweli
 
Kusamehe inawezekana ila shida inakuja kila ukiwa unamla akikata mauno na kugugumia ule utamu unapata flashback mbaya sana.
 
Kusamehe inawezekana ila shida inakuja kila ukiwa unamla akikata mauno na kugugumia ule utamu unapata flashback mbaya sana.
daah! steam inakata kabisa naimagine na jamaa alikuwa anakatikiwa ivi ivi
 
Ujana maji ya moto
 
nijifunze kweny kusalitiwa ,ntajifunzia pengine sio kweny maumivu ya kutombewer
Hahahah.... Kwa hiyo we ukila mademu wengi sawa, ila yeye akiliwa na machizi wengine nongwa?

Sawa.
 
Labda nichangie kidogo.
Inategemea mna malengo gani.
1. Ikiwa ni urafiki wa kufurahishana na kukata mihemko ya ujana msamehe maisha yaendelee

2. Ikiwa mnapanga kuoana mnajitesa bure wote mmeharibu.
Ndoa na mapenzi ya dhati msingi wake ni uaminifu na ninyi wote 2 mmeutikisa huo msingi.
Mkilazimisha mtateseka bure.

Ikiwa jibu lako ni namba 1. Msamehe muendelee kila mmoja akisubiria mwenza sahihi.
Ikiwa jibu lako ni 2.
Msamehe lakini anza kujipanga kujionfoa taratibu kwenye kifungo hicho utafute mwingine.
Uchumba hausuluhishwagi mkuu ukilazimisha mnajimaliza
 
umeukopi kwa mtu ee
 
Mara mbili hua inazidishwa mara 10...

Kwa hiyo hapo wamekulana 20 times bro
 
Nakushauri kaeni wote muendelee kusalitiana
 
Kwasababu ulimwambia akisema ukweli utamsamehe, nakushauri msamehe endelea kumega kisera Ila mawazo ya kumuoa ndo uyafute kabisa.
 
Ingawa mimi ni mwanamke na huenda nimewahi kucheat pia lakini nakupa ushauri bila kuzingatia jinsia wala historia yangu.

Ukiamua kubaki nae kumbukumbu za usaliti wake zitadumu muda mrefu kichwani mwako na mapenzi yenu hayawezi kurudi tena kama zamani.

Ukiamua kumuacha utapona haraka. Muache na kisha acha kabisa kuweka matarajio kwa mwanamke ukipata mpenzi mwingine.
 
Huu ni utopolo! Endeleeni na bongo movie yenu na uzungu mwingi!
 
umenena hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…