Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

Unaonekana ushasamehe huna la kufanya zaidi ya hilo.
Kama una maleno nae achana nae ila kama ni wa kupita tu hiyo sio sababu ya kumuacha.

Ila kwa wewe una moyo mwepesi kichizi, sasa hayo mambo ya kumbana akwambie ukweli na huwezi kuumudu ya nini sasa!!
 
Atapitiwa tena tu siku moja maamuzi yapo mikononi mwako ila jua hivyo .
 
Na wewe msamehe tu mkuu muendelee kuzini
 
kuchapiwa kunauma bana,,imagine siku ile katoka huko walikoenda akafikia kwangu anasema amenimisi kishenzi nikafanya nae,kumbe huko katoka kubinuliwa na jamaa mwingne, wanawake mungu anawaona.
 
Wewe umemsaliti Mara ngapi samehe a hilia maisha yaendelee
 
kuchapiwa kunauma bana,,imagine siku ile katoka huko walikoenda akafikia kwangu anasema amenimisi kishenzi nikafanya nae,kumbe huko katoka kubinuliwa na jamaa mwingne, wanawake mungu anawaona.
Wewe una madem zaidi ya 3, na hakuna kati ya hao uliemuoa sasa huko kuchapiwa kunakuumaje mkuu, yani unataka uwamiliki wote 4 na uwatimizie kila kitu utaweza??

Stress za kijinga namna hiyo huwa mnajitaftia tu, ndio maana nkakwambia kama una malengo nae unaweza kuumia ila kama ni wa kupita unaumia nini sasa??
 
Achana na huyo mwanamke

Mwanamke ni tofauti na mwanaume akishacheat ujue ndo basi tena
 
Nyie wanawake mkianza kuliwa na washkaji wengine ni tatzo ukinogewa uko kinachofuata no matukio tu huwa hamuwezi kabsa kucontrol hisia zenu
Usaliti ni usaliti kwa hiyo nyinyi mnao we za kucontrol hisia iko sawa
 
sasa ndo nnayempenda kati ya hao wanne, si unajua unaweza ukawa na madem ata kumi lakini yupo mmoja tu kati yao ndo unampenda kuzidi wengine,sasa ukigundua si utaumia,,na ndo kilichonitokea mimi hadi nimeshindwa kufanya maamuzi sahihi,ndo nikaja huku kupata ushauri wenu afu niuchambue nipate maamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…