Mpenzi wangu amenambia ana ma-ex 7

Kipindi hicho wewe ulikuwa na wangapi.

Mzinifu haowi ila kwa mzinifu mwenzie
 
Ni Ni mpenzi wenu au mpenzi wako?
 
Mwanakulifind, mwanakuliget. Sasa unlia lia nini na uliuliza, ukapewa majibu!!
 
Daaah, uko wapi kwani......
 
Wewe umekuwa na wangapi kwa kipindi hicho? Tumia hesabu yako kuamua.
 
Miaka sita ukigawa na maex saba approximation kila mwaka alikuwa anamkubalia jamaa mpya.. Kati ya hawo kuna watano walikuwa hawampi hela inawezekana wamemla papuchi mara chache kasheshe hao waliompa pesa sikwambii ila hatari..
Sijui nisemajee ila utajua mwenyewe
 
Mbona ni wachache? Nilikutana na msichana sehemu ya kazi tukaanza mahusiano. Siku ya kwanza kutaka kula mzigo alitaka kavu. Nikasema hapana kwa sababu mbali na magonjwa unaweza pata mimba isiyotarajiwa. Akaniambia, "Yaani hapa wamepita watu 28 na hawajai kunipa mimba uje kunipa wewe leo? Hahaha,,,na tuliishia pale pale.
 
Duuh hawa viumbe hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…