Mpenzi wangu amenambia ana ma-ex 7

Bora huyo kakwambia ukweli, anafaa kabisa.

Vipi kama angekudanganya kua tangu uondoke hajawai kuwa na mahusiano si ungeamini, ila kaamua kukuchana ukweli, maana yake kashaungama hata kwa mungu wake na kakiri pia.
 
Fanya kile.ambacho nafsi yako inakutuma ...

Mpaka uliweza kurudiana nae ina maana unampenda ...

Miaka sita yote hiyo ulijua atakuwa yeye tu
Hawezi kuwa yeye tu, ila unayaelewa madhara ya kisaikolojia yatokanayo na mwanamke kuishi na wanaume tofauti tofauti, wenye maumbile tofauti tofauti, tabia tofauti tofauti na vipato tofauti tofauti?

Tena anaconfess kabisa eti 'walikuwa wananipa hela nyingi tu'!

Huyo anafaa kwa mapenzi ya uhawara na siyo 'future wife', atamsumbua sana maana hawezi kumridhisha.
 
Nakushauri achana nae atakuletea magonjwa ma x wengi uwaga atuachane kwa asilimia 100
Hivi nirahisi kumkuta demu ambaye hajawahi kuwa na mahusiano? Au tunapenda kuridhishwa na kudanganywa kwamba anamiaka 5 hajawah kuwa na mwanaume😁😁😁
 
To
Me ni heri huyu anaefunguka ujue kuliko anayekuficha huku ni kicheche balaa
 
Highly experienced!! Endelea naye tu
 
Uwongo uwongo uwongoooooo uwongoooooo uwongoooooo huoooooo aaaah uwongo huo
Uwongo uwongo uwongoooooo
 
"kati hao wanaume wake 2 walikuwa wanamsaidia sana akiwaomba hela wanampa tena hela nyingi tu" Majibu amekupa yeye mwenyewe alafu unakuja kutuuliza swali sisi tena vipi mzee 🤔🤔
 
Wewe ni MS.NG.E na ni LI.PUMBAVU
Enhe Katika hao 7,wangapi wamewahi kumf.ria?
ushauri wenu wakuu
 
Maana yake yupo tayari kutulia sasa maana amekwisha pata mikunyenge ya kutosha na huko chini hapana Tena ladha yake..Kama pamekuvutia, wewe chonga mzinga na peleka posa. Yeye yupo tayari Ila wewe ndio hujulikani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…