Mpenzi wangu anaficha meseji kwenye simu yake, nahisi anawasiliana na wanaume wengine

Mabaharia tupo, tunajiondokeaga tu kama hapakuwa na jambo lolote,
 
mambo kusema tusichunguzane sijawahi kukubaliana nayo hata siku moja, mm nijitunze alafu yy afanye ufuska unajua hii dunia ina magonjwa kibao, kama una jali afya yako lazima utamchunga mke wako au mume wako.
 
umerogwa? yaani hata hapa unataka ushauri kweli
 
haahha nimeshangaa hivi watu wanapataga wapi muda wa kujibishana kuhusu cheating? mimi nikijua au kuhisi hutanisikia tena. Mpaka leo hamna mwanamke anaejua kwanini nawaacha sababu sisemi kabisa napotea tu.
 
mambo kusema tusichunguzane sijawahi kukubaliana nayo hata siku moja, mm nijitunze alafu yy afanye ufuska unajua hii dunia ina magonjwa kibao, kama una jali afya yako lazima utamchunga mke wako au mume wako.
hao ni moja ya watu dhaifu sana akikuta madudu anaweza kufa ndo mana anasema usichunguze. Ndoa ni kitu nyeti sana huwezi kufanya hayo maamuzi juu juu tu ndo mnakuja kulia.
 
haahha nimeshangaa hivi watu wanapataga wapi muda wa kujibishana kuhusu cheating? mimi nikijua au kuhisi hutanisikia tena. Mpaka leo hamna mwanamke anaejua kwanini nawaacha sababu sisemi kabisa napotea tu.

Mi mwenyewe nawashangaa mtu keshakufanya f*ra unapata wapi mda wa kumuuliza maswali ya kijinga..
 
Kwaio ukaamua kuja kumsemelea huku
 
Mkuu ukweli ni kwamba kwenye Mahusiano ni watu wachache sana ambao hawana michepuko...Ukitaka awe wakwako peke yako jua umeshampoteza...kama unampenda wewe piga mimba..Lea watoto Maisha yaendelee..!!
 
Mkuu ukweli ni kwamba kwenye Mahusiano ni watu wachache sana ambao hawana michepuko...Ukitaka awe wakwako peke yako jua umeshampoteza...kama unampenda wewe piga mimba..Lea watoto Maisha yaendelee..!!

Suree…kama unakula wa wenzako na wako wanakuliaaa[emoji3][emoji3] kuna mademu ukitaka kushika simu yake mnakosana we ukiona hvyo jiongezee
 
Ushauri mujarab kabisa
 
Mimi ningeacha kukagua simu yake na kama kweli unampenda utamvumilia

Pia tunaambiwa kwamba kila mtu atakuumiza hivyo chagua takataka moja utakayoweza kuvumilia maumivu yake mpaka atakapokaa kwenye reli
Siku zote, ukikagua simu ya mpenzi wako, HAKIKA utakipata unachokitafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…