Mpenzi wangu anaficha meseji kwenye simu yake, nahisi anawasiliana na wanaume wengine

Kuna njia mbili wewe mbumbumbu inabidi ujifunze kuzitumia..

Kwanza mwanamke aachwi kwa kukaa chini na kumwambia makosa yake Never kinachofanyikaga ni kumpotezea bila kumwambia sababu yeyote.HATUJADILI MAKOSA YA MWANAMKE KABLA YAKUMUACHA kufanya hivyo ni prove wewe ni loser jingajinga usiyejua nini unataka kwenye mahusiano.na hivyo ndo mwanamke atakugeuza.

Pili,Kama hutaki kumuacha acha kumchunguza acha kumgharamikia mwambie huna hela mambo magumu ukitoa hela labda 10000 ya nauli then mpende kinafiki huku unatafuta mwanamke wa maana,siku atakayokwambia umuoe ndo upige chini huku unamwambia nashundwa kukuamini ,siku anayokwambia ana mimba yako ndo upige chini hlf mwambie mlee mtoto sababu wewe haukuwa na malengo nae..

Hiii ya pili tunaifanya kwa mwanamke anaehisi mjanja mjanja kama huyo wako kumuonyesha at the end of the day wewe ni mjinga tu.

Hii ya kwanza ni principle kabisa inajisimamia katu hamna kujadili sababu ya kuachana na mwanamke akifit kwenye kuachwa basi wewe anza kwa kutokupiga simu kabisaa ukiulizwa sema upo busy,fuata kwa kutokuhudumia chochote anachokitaka,malizia kwa no meetings yaani wewe disappear tu mambo ya kwanini unanisaliti ni wanaume majinga jinga ndo wanafanya huo upuuzi majitu yasiyojua kutongoza maloser yasiyo na uhakika wakupata mwanamke mwingine ndo uwaga yanauliza maswali ya kwanini unanisaliti!kwanini unanidharau!!kwanini unanitukana!mbwa wewe do something if you are really man..
Ni kosa kabisa kukaa chini kujadili makosa ya mwanamke ukiwa na lengo la kumuacha, unless uwe unataka kumuelewesha. Nakubaliana na wewe, ni looser pekee na asiejua kutongoza ndiye atakae kaa na kuvumilia dharau za mwanamke.
 
Neno moja....PiGachini

Atakuja kukuletea matatizo wanawake waelewa wapo wengi
 
Kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa muda wa miezi 7 sasa na siku kadhaa.

Na tulipanga hapo baadae tuje tuwe na mwisho mzuri (ndoa)

Katika kipindi chote hicho ambacho tulikua pamoja tuliweza kuwa na furaha japo pia kukwazana kupo kama binadamu, lakini tulikua tunaongea yanaisha na kurudisha uelewa kati yetu.

Pia tangu nimekua nae, baada ya muda nilianza kukagua simu yake, ili kuangalia je? Kama mwenzangu kweli ana nia na mimi au yeye ana mambo yake mengine anayowaza na watu wengine.

Katika hatua hiyo ya ukaguzi wa simu yake nilishawahi kukuta baadhi ya sms za mapenzi, ikiwa ni namba ngeni kabisa ndio iliyoingia zinaongoza kutuma kutuma sms hizo kwenye simu yake, na nilipojaribu kumuuliza mwenzangu yeye alijaribu kujitetea kwa kusema hizo namba hazifahamu na kudai tu ni watu ambao wanataka kumuharibia mahusiano.

Pia kuna uzi ambao nishawahi kuleta hapa kuhusu kutoelewana mimi na yeye, kutokana na simu ambayo nilipokea wakati wa usiku na huyo mtu alidai kwamba anamfahamu huyu msichana kuliko hata mimi ninavyomfahamu, na pale nilipomuasha usiku kujibu madai ya huyo mtu alianza kulia usiku hadi mida ya saa tisa(9) usiku akidai ya kuwa namuonea tu, lakini yeye hamfahamu.

Baada ya hapo hivi, juzi wakati naangalia whatsapp yake nilikuta chat ambazo ameweka password, lakini nilianza kuhisi pia kuna kitu hakipo sawa.. Baada ya hapo nilimuuliza kuhusu chat hizo lakini yeye alidai ya kuwa nisiwe na wasi wasi kwani hakuna baya linaloendelea.

Na ndipo siku ya jana nilimsihi sana atowe password hizo ili niangalie vitu hivyo ambavyo anachati na wao watu.

Sasa katika kubishana nilifanikiwa kuchukua simu ile ili aniambie password za kwenye zile chat, lakini aligoma.

Hivyo niliamua kuondoka na ile simu mpaka pale ninapokaa, na yeye kunifuata baadae... Pia hapo nyumbani tulibishana kwa muda sana, lakini aligoma kutoa password.... Ndipo aliponiambia nimpe simu ili atoe Mwenyewe hizo password... Kwa kuwa nilishahisi kuna vitu ambavyo anaficha na lazima vitakuwa ni viovu, niliamua kumpa simu yake.

Baada ya kuchukua simu, hakutoa zile password, ila badala yake aliamua kufuta zile chat zote... Hivyo kwa kuwa alifanya vile kwa makusudi, nilimuamuru aondoke zake. Lakini pia aligoma kuondoka... Hivyo nilitumia nguvu kumuondoa apo nyumbani kwa kuwa nilishahisi tu mambo yanayoendelea sio mema hata kidogo.

Hivyo leo alinisihi sana tuongee yaishe... Lakini kabla ya hapo kuna maswali nilitaka kumuuliza na katika kumbana sana niligundua mmoja kati ya wale watu aliokuwa akiwasiliana nao ni bwana wake wa kwanza kama alivyodai(ex boyfriend) na hawa wengine alidai tu, ni watu ambao wanamtongoza tu lakini hawajui...

Na kwa kuwa nilishaanza kumchunguza muda sana alisema ukweli wote

Sasa mimi binafsi nilimuambia ya kuwa sina tena imani na wewe, akaanza kama kawaida kulia usiku kucha, anadai nimsamehe...

Je wakuu hapo ingekua imetokea kwa upande wako ungefanyaje?
Piga chini
Upo kwenye mahusiano na mke wa mtu. Usije kusema hatukukwambia
 
Huko ndo kulia kwenyewe,ungekuwa hit and run kama mnavyojisifu wanaume usingegongewa mchana kweupe afu bado ukomae hapohapo...
Madam, hyo issue ya hit and run ipo sawa bt it's a time unahitaji kuchagua mwenza wa maisha. Huwez kuwa mtu wa hit and run Kila siku mean maisha yko yooote!!
 
Tafuta demu mwingine na wewe acha kuishi kinyonge, na kama unampa pesa pesa/kumhudumia huyo acha kabisa kumpa au mpe kidogo sana.

Ukimuendekeza utakufa siku si zako.
 
Ukimchunguza bata huwezi kumlaa…!kaz kwako ule hvyo hvyo au uchunguze kama kbovu usile
 
Kwann mnachunguza Simu za wanawake aiseee..hakuna kitu kibaya kama kuchunguza simu.
 
Kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa muda wa miezi 7 sasa na siku kadhaa.

Na tulipanga hapo baadae tuje tuwe na mwisho mzuri (ndoa)

Katika kipindi chote hicho ambacho tulikua pamoja tuliweza kuwa na furaha japo pia kukwazana kupo kama binadamu, lakini tulikua tunaongea yanaisha na kurudisha uelewa kati yetu.

Pia tangu nimekua nae, baada ya muda nilianza kukagua simu yake, ili kuangalia je? Kama mwenzangu kweli ana nia na mimi au yeye ana mambo yake mengine anayowaza na watu wengine.

Katika hatua hiyo ya ukaguzi wa simu yake nilishawahi kukuta baadhi ya sms za mapenzi, ikiwa ni namba ngeni kabisa ndio iliyoingia zinaongoza kutuma kutuma sms hizo kwenye simu yake, na nilipojaribu kumuuliza mwenzangu yeye alijaribu kujitetea kwa kusema hizo namba hazifahamu na kudai tu ni watu ambao wanataka kumuharibia mahusiano.

Pia kuna uzi ambao nishawahi kuleta hapa kuhusu kutoelewana mimi na yeye, kutokana na simu ambayo nilipokea wakati wa usiku na huyo mtu alidai kwamba anamfahamu huyu msichana kuliko hata mimi ninavyomfahamu, na pale nilipomuasha usiku kujibu madai ya huyo mtu alianza kulia usiku hadi mida ya saa tisa(9) usiku akidai ya kuwa namuonea tu, lakini yeye hamfahamu.

Baada ya hapo hivi, juzi wakati naangalia whatsapp yake nilikuta chat ambazo ameweka password, lakini nilianza kuhisi pia kuna kitu hakipo sawa.. Baada ya hapo nilimuuliza kuhusu chat hizo lakini yeye alidai ya kuwa nisiwe na wasi wasi kwani hakuna baya linaloendelea.

Na ndipo siku ya jana nilimsihi sana atowe password hizo ili niangalie vitu hivyo ambavyo anachati na wao watu.

Sasa katika kubishana nilifanikiwa kuchukua simu ile ili aniambie password za kwenye zile chat, lakini aligoma.

Hivyo niliamua kuondoka na ile simu mpaka pale ninapokaa, na yeye kunifuata baadae... Pia hapo nyumbani tulibishana kwa muda sana, lakini aligoma kutoa password.... Ndipo aliponiambia nimpe simu ili atoe Mwenyewe hizo password... Kwa kuwa nilishahisi kuna vitu ambavyo anaficha na lazima vitakuwa ni viovu, niliamua kumpa simu yake.

Baada ya kuchukua simu, hakutoa zile password, ila badala yake aliamua kufuta zile chat zote... Hivyo kwa kuwa alifanya vile kwa makusudi, nilimuamuru aondoke zake. Lakini pia aligoma kuondoka... Hivyo nilitumia nguvu kumuondoa apo nyumbani kwa kuwa nilishahisi tu mambo yanayoendelea sio mema hata kidogo.

Hivyo leo alinisihi sana tuongee yaishe... Lakini kabla ya hapo kuna maswali nilitaka kumuuliza na katika kumbana sana niligundua mmoja kati ya wale watu aliokuwa akiwasiliana nao ni bwana wake wa kwanza kama alivyodai(ex boyfriend) na hawa wengine alidai tu, ni watu ambao wanamtongoza tu lakini hawajui...

Na kwa kuwa nilishaanza kumchunguza muda sana alisema ukweli wote

Sasa mimi binafsi nilimuambia ya kuwa sina tena imani na wewe, akaanza kama kawaida kulia usiku kucha, anadai nimsamehe...

Je wakuu hapo ingekua imetokea kwa upande wako ungefanyaje?
Usihisi.nakuhakikishia Anatoombwaa na jamaa mwingine bila ubishi.yaani akishafikia hapo moyoni anakua ameamua zamaaani kumpa tamu mwingine ila hajui kwako anaondokaje au anataka kuwa keep nyote wawili.Akili kumkichwa
 
Na kiuhalisia watu hawajui tu,wanawake tukipenda tunapenda kweli ila udhaifu wetu ni kukosa msimamo...yaan mtu mwepesi kugeuka katika mapenz ni mwanamke...mwanaume anaweza shawishiwa na mbunye ingine akaila na akabaki na msimamo wa kubaki na aliyenae ila mwanamke nikigongwa nje nahamisha uchi,akili na moyo pia,ndo nishageuka yaan
Ndo maana mi sishauri mwanaume yoyote kumrudia/kumsamehe mpenzi wake akitoombwaa nje.Yaani to women,kutiwa ni hatua ya mwisho kabisa.anakua alikuacha siku nyingi sanaaa
 
Back
Top Bottom