Mpenzi wangu anaficha meseji kwenye simu yake, nahisi anawasiliana na wanaume wengine

[emoji654]Kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa muda wa miezi 7 sasa na siku kadhaa.

[emoji654] Na tulipanga hapo baadae tuje tuwe na mwisho mzuri (ndoa)

[emoji654] Katika kipindi chote hicho ambacho tulikua pamoja tuliweza kuwa na furaha japo pia kukwazana kupo kama binadamu, lakini tulikua tunaongea yanaisha na kurudisha uelewa kati yetu.

[emoji654] Pia tangu nimekua nae, baada ya muda nilianza kukagua simu yake, ili kuangalia je? Kama mwenzangu kweli ana nia na mimi au yeye ana mambo yake mengine anayowaza na watu wengine.

[emoji654] Katika hatua hiyo ya ukaguzi wa simu yake nilishawahi kukuta baadhi ya sms za mapenzi, ikiwa ni namba ngeni kabisa ndio iliyoingia zinaongoza kutuma kutuma sms hizo kwenye simu yake, na nilipojaribu kumuuliza mwenzangu yeye alijaribu kujitetea kwa kusema hizo namba hazifahamu na kudai tu ni watu ambao wanataka kumuharibia mahusiano.

[emoji654] Pia kuna uzi ambao nishawahi kuleta hapa kuhusu kutoelewana mimi na yeye, kutokana na simu ambayo nilipokea wakati wa usiku na huyo mtu alidai kwamba anamfahamu huyu msichana kuliko hata mimi ninavyomfahamu, na pale nilipomuasha usiku kujibu madai ya huyo mtu alianza kulia usiku hadi mida ya saa tisa(9) usiku akidai ya kuwa namuonea tu, lakini yeye hamfahamu.

[emoji654] Baada ya hapo hivi, juzi wakati naangalia whatsapp yake nilikuta chat ambazo ameweka password, lakini nilianza kuhisi pia kuna kitu hakipo sawa.. Baada ya hapo nilimuuliza kuhusu chat hizo lakini yeye alidai ya kuwa nisiwe na wasi wasi kwani hakuna baya linaloendelea.

[emoji654] Na ndipo siku ya jana nilimsihi sana atowe password hizo ili niangalie vitu hivyo ambavyo anachati na wao watu.

[emoji654] Sasa katika kubishana nilifanikiwa kuchukua simu ile ili aniambie password za kwenye zile chat, lakini aligoma.

[emoji654] Hivyo niliamua kuondoka na ile simu mpaka pale ninapokaa, na yeye kunifuata baadae... Pia hapo nyumbani tulibishana kwa muda sana, lakini aligoma kutoa password.... Ndipo aliponiambia nimpe simu ili atoe Mwenyewe hizo password... Kwa kuwa nilishahisi kuna vitu ambavyo anaficha na lazima vitakuwa ni viovu, niliamua kumpa simu yake.

[emoji654] Baada ya kuchukua simu, hakutoa zile password, ila badala yake aliamua kufuta zile chat zote... Hivyo kwa kuwa alifanya vile kwa makusudi, nilimuamuru aondoke zake. Lakini pia aligoma kuondoka... Hivyo nilitumia nguvu kumuondoa apo nyumbani kwa kuwa nilishahisi tu mambo yanayoendelea sio mema hata kidogo.

[emoji654] Hivyo leo alinisihi sana tuongee yaishe... Lakini kabla ya hapo kuna maswali nilitaka kumuuliza na katika kumbana sana niligundua mmoja kati ya wale watu aliokuwa akiwasiliana nao ni bwana wake wa kwanza kama alivyodai(ex boyfriend) na hawa wengine alidai tu, ni watu ambao wanamtongoza tu lakini hawajui...

[emoji654] Na kwa kuwa nilishaanza kumchunguza muda sana alisema ukweli wote

[emoji654] Sasa mimi binafsi nilimuambia ya kuwa sina tena imani na wewe, akaanza kama kawaida kulia usiku kucha, anadai nimsamehe...

Je wakuu hapo ingekua imetokea kwa upande wako ungefanyaje?

Nafikiri tatizo kubwa ni wewe. Pengine huna experience ya ku date na pisi kali.

1. Mwanamke yoyote mrembo, anatongozwa na wanaume zaidi ya 100 kuanzia ofisini mabosi, wafanyakazi wenzake, bodaboda, vijana mtaani, wachungaji, matrafiki, ndugu zake, mashemeji nk nk. Kati ya hao kuna ambao wameshakula mzigo na wengine wanaendelea kupambana. Kudhani kwamba mwanamke kama huyo atakua anachat na wewe tu kwenye simu yake ni kujidanganya.

2. Huyu mwanamke wako anajitahidi sana kuku protect kwa kujua kabisa wewe una moyo mdogo hivyo anatumia njia mbalimbali kama passwords nk kukulinda, ila wewe unahangaika mwenyewe kutafuta matatizo, ilihali uwezo wa kumuacha huna! Ndio maana sijaona umeweka ushahidi wowote wa kwamba kuna meseji ya kimapenzi umeifuma, zaidi ya kuhisi tu kwamba hizo zilizofichwa ni za mapenzi.

3. Ushauri wangu kwako, kwa kiwango cha wivu ulicho nacho, achana kabisa na wanawake warembo, we tafuta guluguja lako ambalo halitazamiki. Nakuhakikishia litakuachia simu yake ushinde nayo na kulala nayo, na kamwe hutakuta meseji yoyote ya mapenzi.
 
Ni kweli aisee,yaan ambao wanakula bata kidogo kwenye mziki huu ni marijali na wa pesa pia.Wenye msiba ni rijali afu no money,kibamia ana pesa,kibamia afu no money.Wanashida sana
Lakini wakulaumia ni jamaa,kwa maelezo yake hapo juu anasema wana miaka 7,jiulize hapo kuna ndoa kweri au kumpotezea mda mtoto wa watu?inawezekana mdada anajaribu kuangalia huku na kule ili aweze kujua wapi pakuelekea kwenda kumalizia maisha yaliyo baki,maana tayari ana hisi jamaa mbabaishaji tu.
 
Ata wenye matango na pesa nao wanalia vile vile sema ni mazingira yao ndio yanawasaidia kuficha vilio vyao. Mapenzi ni zaid ya pesa na matango na maumivu mara nyingi huwa yapo nje ya pesa na sex
 
Huyo mpenzi wako si ana marafiki zake wale mabest?

Watumie sms ya aina moja kwa kutumia simu ya mpenzi wako andika "Shosti nina mimba"

Ukiona jibu la sms linakuja "Ya nani?" Rudi tena nikushauri cha kufanya.
Sasa unataka afe kwa pressure
 
Nafikiri tatizo kubwa ni wewe. Pengine huna experience ya ku date na pisi kali.

1. Mwanamke yoyote mrembo, anatongozwa na wanaume zaidi ya 100 kuanzia ofisini mabosi, wafanyakazi wenzake, bodaboda, vijana mtaani, wachungaji, matrafiki, ndugu zake, mashemeji nk nk. Kati ya hao kuna ambao wameshakula mzigo na wengine wanaendelea kupambana. Kudhani kwamba mwanamke kama huyo atakua anachat na wewe tu kwenye simu yake ni kujidanganya.

2. Huyu mwanamke wako anajitahidi sana kuku protect kwa kujua kabisa wewe una moyo mdogo hivyo anatumia njia mbalimbali kama passwords nk kukulinda, ila wewe unahangaika mwenyewe kutafuta matatizo, ilihali uwezo wa kumuacha huna! Ndio maana sijaona umeweka ushahidi wowote wa kwamba kuna meseji ya kimapenzi umeifuma, zaidi ya kuhisi tu kwamba hizo zilizofichwa ni za mapenzi.

3. Ushauri wangu kwako, kwa kiwango cha wivu ulicho nacho, achana kabisa na wanawake warembo, we tafuta guluguja lako ambalo halitazamiki. Nakuhakikishia litakuachia simu yake ushinde nayo na kulala nayo, na kamwe hutakuta meseji yoyote ya mapenzi.
Hakuna mwana mke ambae hatongozwi hata kidogo hiyo sahau,hata mama zetu pamoja na uzee wao wanatongozwa na wazee wenzao huko,zingatia hii kauri ita kusadia hakuna mwana mke wa peke yako.NB.hata mama yetu samia anatongozwa sema mazingira yana mbana.
 
Mahusiano ya aina yako ni yale ambayo wanandoa wanauana kwa wivu wa mapenzi.

Kamwe usioe mwanamke unayempenda sana kupitiliza wivu, presha, kisukari vitakumaliza ndani ya ndoa.

Oa mwanamke ambaye upendo wako kwake unakuwa wa wastani, upendo utaongezeka kadri mnavyojenga familia na maendeleo yenu.
Hivi ndivyo mnavyodanganyana maisha yenyewe mafupi alafu nisiwe na kitu nikipendacho?
 
Hakuna mwana mke ambae hatongozwi hata kidogo hiyo sahau,hata mama zetu pamoja na uzee wao wanatongozwa na wazee wenzao huko,zingatia hii kauri ita kusadia hakuna mwana mke wa peke yako.NB.hata mama yetu samia anatongozwa sema mazingira yana mbana.
Sasa huyu jamaa yako anaetaka demu ambae hana mtu anaemsumbua kwenye simu unamsaidiaje?
 
Kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa muda wa miezi 7 sasa na siku kadhaa.

Na tulipanga hapo baadae tuje tuwe na mwisho mzuri (ndoa)

Katika kipindi chote hicho ambacho tulikua pamoja tuliweza kuwa na furaha japo pia kukwazana kupo kama binadamu, lakini tulikua tunaongea yanaisha na kurudisha uelewa kati yetu.

Pia tangu nimekua nae, baada ya muda nilianza kukagua simu yake, ili kuangalia je? Kama mwenzangu kweli ana nia na mimi au yeye ana mambo yake mengine anayowaza na watu wengine.

Katika hatua hiyo ya ukaguzi wa simu yake nilishawahi kukuta baadhi ya sms za mapenzi, ikiwa ni namba ngeni kabisa ndio iliyoingia zinaongoza kutuma kutuma sms hizo kwenye simu yake, na nilipojaribu kumuuliza mwenzangu yeye alijaribu kujitetea kwa kusema hizo namba hazifahamu na kudai tu ni watu ambao wanataka kumuharibia mahusiano.

Pia kuna uzi ambao nishawahi kuleta hapa kuhusu kutoelewana mimi na yeye, kutokana na simu ambayo nilipokea wakati wa usiku na huyo mtu alidai kwamba anamfahamu huyu msichana kuliko hata mimi ninavyomfahamu, na pale nilipomuasha usiku kujibu madai ya huyo mtu alianza kulia usiku hadi mida ya saa tisa(9) usiku akidai ya kuwa namuonea tu, lakini yeye hamfahamu.

Baada ya hapo hivi, juzi wakati naangalia whatsapp yake nilikuta chat ambazo ameweka password, lakini nilianza kuhisi pia kuna kitu hakipo sawa.. Baada ya hapo nilimuuliza kuhusu chat hizo lakini yeye alidai ya kuwa nisiwe na wasi wasi kwani hakuna baya linaloendelea.

Na ndipo siku ya jana nilimsihi sana atowe password hizo ili niangalie vitu hivyo ambavyo anachati na wao watu.

Sasa katika kubishana nilifanikiwa kuchukua simu ile ili aniambie password za kwenye zile chat, lakini aligoma.

Hivyo niliamua kuondoka na ile simu mpaka pale ninapokaa, na yeye kunifuata baadae... Pia hapo nyumbani tulibishana kwa muda sana, lakini aligoma kutoa password.... Ndipo aliponiambia nimpe simu ili atoe Mwenyewe hizo password... Kwa kuwa nilishahisi kuna vitu ambavyo anaficha na lazima vitakuwa ni viovu, niliamua kumpa simu yake.

Baada ya kuchukua simu, hakutoa zile password, ila badala yake aliamua kufuta zile chat zote... Hivyo kwa kuwa alifanya vile kwa makusudi, nilimuamuru aondoke zake. Lakini pia aligoma kuondoka... Hivyo nilitumia nguvu kumuondoa apo nyumbani kwa kuwa nilishahisi tu mambo yanayoendelea sio mema hata kidogo.

Hivyo leo alinisihi sana tuongee yaishe... Lakini kabla ya hapo kuna maswali nilitaka kumuuliza na katika kumbana sana niligundua mmoja kati ya wale watu aliokuwa akiwasiliana nao ni bwana wake wa kwanza kama alivyodai(ex boyfriend) na hawa wengine alidai tu, ni watu ambao wanamtongoza tu lakini hawajui...

Na kwa kuwa nilishaanza kumchunguza muda sana alisema ukweli wote

Sasa mimi binafsi nilimuambia ya kuwa sina tena imani na wewe, akaanza kama kawaida kulia usiku kucha, anadai nimsamehe...

Je wakuu hapo ingekua imetokea kwa upande wako ungefanyaje?
Kama unampenda peleka mahari uoe...kama humpendi achana naye....acha tabia za kuchunguza chunguza...amua moja kumuoa au kutomuoa...
 
Lakini wakulaumia ni jamaa,kwa maelezo yake hapo juu anasema wana miaka 7,jiulize hapo kuna ndoa kweri au kumpotezea mda mtoto wa watu?inawezekana mdada anajaribu kuangalia huku na kule ili aweze kujua wapi pakuelekea kwenda kumalizia maisha yaliyo baki,maana tayari ana hisi jamaa mbabaishaji tu.
7 months not years[emoji1787][emoji1787]
 
Kosa ni
Lakini wakulaumia ni jamaa,kwa maelezo yake hapo juu anasema wana miaka 7,jiulize hapo kuna ndoa kweri au kumpotezea mda mtoto wa watu?inawezekana mdada anajaribu kuangalia huku na kule ili aweze kujua wapi pakuelekea kwenda kumalizia maisha yaliyo baki,maana tayari ana hisi jamaa mbabaishaji tu.
Lake,miaka 7 au miez saba mkuu?
 
Mimi ningeacha kukagua simu yake na kama kweli unampenda utamvumilia

Pia tunaambiwa kwamba kila mtu atakuumiza hivyo chagua takataka moja utakayoweza kuvumilia maumivu yake mpaka atakapokaa kwenye reli
Miezi saba tu ushataka kumtawala
 
Kuna njia mbili wewe mbumbumbu inabidi ujifunze kuzitumia..

Kwanza mwanamke aachwi kwa kukaa chini na kumwambia makosa yake Never kinachofanyikaga ni kumpotezea bila kumwambia sababu yeyote.HATUJADILI MAKOSA YA MWANAMKE KABLA YAKUMUACHA kufanya hivyo ni prove wewe ni loser jingajinga usiyejua nini unataka kwenye mahusiano.na hivyo ndo mwanamke atakugeuza.

Pili,Kama hutaki kumuacha acha kumchunguza acha kumgharamikia mwambie huna hela mambo magumu ukitoa hela labda 10000 ya nauli then mpende kinafiki huku unatafuta mwanamke wa maana,siku atakayokwambia umuoe ndo upige chini huku unamwambia nashundwa kukuamini ,siku anayokwambia ana mimba yako ndo upige chini hlf mwambie mlee mtoto sababu wewe haukuwa na malengo nae..

Hiii ya pili tunaifanya kwa mwanamke anaehisi mjanja mjanja kama huyo wako kumuonyesha at the end of the day wewe ni mjinga tu.

Hii ya kwanza ni principle kabisa inajisimamia katu hamna kujadili sababu ya kuachana na mwanamke akifit kwenye kuachwa basi wewe anza kwa kutokupiga simu kabisaa ukiulizwa sema upo busy,fuata kwa kutokuhudumia chochote anachokitaka,malizia kwa no meetings yaani wewe disappear tu mambo ya kwanini unanisaliti ni wanaume majinga jinga ndo wanafanya huo upuuzi majitu yasiyojua kutongoza maloser yasiyo na uhakika wakupata mwanamke mwingine ndo uwaga yanauliza maswali ya kwanini unanisaliti!kwanini unanidharau!!kwanini unanitukana!mbwa wewe do something if you are really man..
 
Kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa muda wa miezi 7 sasa na siku kadhaa.

Na tulipanga hapo baadae tuje tuwe na mwisho mzuri (ndoa)

Katika kipindi chote hicho ambacho tulikua pamoja tuliweza kuwa na furaha japo pia kukwazana kupo kama binadamu, lakini tulikua tunaongea yanaisha na kurudisha uelewa kati yetu.

Pia tangu nimekua nae, baada ya muda nilianza kukagua simu yake, ili kuangalia je? Kama mwenzangu kweli ana nia na mimi au yeye ana mambo yake mengine anayowaza na watu wengine.

Katika hatua hiyo ya ukaguzi wa simu yake nilishawahi kukuta baadhi ya sms za mapenzi, ikiwa ni namba ngeni kabisa ndio iliyoingia zinaongoza kutuma kutuma sms hizo kwenye simu yake, na nilipojaribu kumuuliza mwenzangu yeye alijaribu kujitetea kwa kusema hizo namba hazifahamu na kudai tu ni watu ambao wanataka kumuharibia mahusiano.

Pia kuna uzi ambao nishawahi kuleta hapa kuhusu kutoelewana mimi na yeye, kutokana na simu ambayo nilipokea wakati wa usiku na huyo mtu alidai kwamba anamfahamu huyu msichana kuliko hata mimi ninavyomfahamu, na pale nilipomuasha usiku kujibu madai ya huyo mtu alianza kulia usiku hadi mida ya saa tisa(9) usiku akidai ya kuwa namuonea tu, lakini yeye hamfahamu.

Baada ya hapo hivi, juzi wakati naangalia whatsapp yake nilikuta chat ambazo ameweka password, lakini nilianza kuhisi pia kuna kitu hakipo sawa.. Baada ya hapo nilimuuliza kuhusu chat hizo lakini yeye alidai ya kuwa nisiwe na wasi wasi kwani hakuna baya linaloendelea.

Na ndipo siku ya jana nilimsihi sana atowe password hizo ili niangalie vitu hivyo ambavyo anachati na wao watu.

Sasa katika kubishana nilifanikiwa kuchukua simu ile ili aniambie password za kwenye zile chat, lakini aligoma.

Hivyo niliamua kuondoka na ile simu mpaka pale ninapokaa, na yeye kunifuata baadae... Pia hapo nyumbani tulibishana kwa muda sana, lakini aligoma kutoa password.... Ndipo aliponiambia nimpe simu ili atoe Mwenyewe hizo password... Kwa kuwa nilishahisi kuna vitu ambavyo anaficha na lazima vitakuwa ni viovu, niliamua kumpa simu yake.

Baada ya kuchukua simu, hakutoa zile password, ila badala yake aliamua kufuta zile chat zote... Hivyo kwa kuwa alifanya vile kwa makusudi, nilimuamuru aondoke zake. Lakini pia aligoma kuondoka... Hivyo nilitumia nguvu kumuondoa apo nyumbani kwa kuwa nilishahisi tu mambo yanayoendelea sio mema hata kidogo.

Hivyo leo alinisihi sana tuongee yaishe... Lakini kabla ya hapo kuna maswali nilitaka kumuuliza na katika kumbana sana niligundua mmoja kati ya wale watu aliokuwa akiwasiliana nao ni bwana wake wa kwanza kama alivyodai(ex boyfriend) na hawa wengine alidai tu, ni watu ambao wanamtongoza tu lakini hawajui...

Na kwa kuwa nilishaanza kumchunguza muda sana alisema ukweli wote

Sasa mimi binafsi nilimuambia ya kuwa sina tena imani na wewe, akaanza kama kawaida kulia usiku kucha, anadai nimsamehe...

Je wakuu hapo ingekua imetokea kwa upande wako ungefanyaje?
Acha wivu wewe mtoto wa kiume kumchunguza demu unaye mpenda atakuua na pressure
 
Ifike mahali sisi binadamu wa leo tukue. I think we need maturity katika maisha ya mahusiano. Siku hizi matatizo ni mengi yasiyo na kichwa wala miguu na ni kwa sababu hatutaki kukua.

I think unapokutana na mtu embu tusichunguzane past tuiandike future pamoja. Kila mtu ana flaws hakuna mkamilifu.

Kama kweli unampenda mtu then things will fall into place lakini ndo kuangalia simu za mwenza wako huanzisha a stupid past. #rudikalalejuan#
Hapa issue sio kufatilia mambo ya wakati uliopita but maisha yao ya sasa na baadae. Mawasiliano na ex ya nini? Na kama yapo kwa nini yawe ya siri? Ndoa ni maamuzi yenye uzito mkubwa na implications kibao maishani, redflags kama anazoelezea ndugu hapa si za kuzipuuzia.
 
Back
Top Bottom