Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Wababu hawatafuti?Mimi nilijuaga wewe ni mbabu age go kumbe bado unatafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wababu hawatafuti?Mimi nilijuaga wewe ni mbabu age go kumbe bado unatafuta
Anadate na toyota brevisAnalalamika amekuwa "mkonde sana/kakonda mnoo" kwa mchakamchaka wa semegi Mwa J!Ananyakua hadi ngozi ya kongoro kibabe.🤣🤣🤣🙏
Mmewaharibu wazee!! Nao sasa wakikaa wanajitungia tu vithread🙆🙆🙆Wazee wa jf nao wameona wasibaki nyuma, Nisione mtu anawaponda watoto wa elfu 2 akili wamerithi kwa wazazi wao...!🤸
kwani kuingia kwenye mahusiano ulisakiziwa na mtu?Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.
Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.
Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga tunaendanae geto.
Yaani Mwa J ni komakoma shenzi type, binti alinikamulia kuku mzima, sasa funga kazi mie nilikuwa nakula kongoro nikatoa ngozi nikaiwekapembeni mara kaidaka na yenyewe kaipiga akaona haitoshi akachukua na bakuli la mchuzi wa kongoro akaunywa allooooo.
Last Sunday tulitoka akaagiza mguu mzima wa mbuzi pale Choma Zone, Mwa J akaula hadi akaumaliza, mbaya zaidi akamaliza hadi chumvi na pilipili.
Sasa huyu nikisema nioe sindio atakuwa anakula kuku mzima wakuu...🙄
Mwa J hajawai kaa na debe la unga wiki nzima wakuu, huyu sio jini kweli...😳
We mwanamke gani kwanza anakunywa maji kwa kutumia jagi...🤔
Kwanza Mwa J anamiguu ya kiume hadi viatu linavaa size 12.
Kha.... mwanamke gani huyu haponi uti wakuu...🙁
Kwanza ana makucha marefuuuu sijui huwa anafuaje nguo zake za muhimu maana nguo nyingine najua huwa anafuliwa na wale wadada wanaopita kwenye majumba kutafuta day waka.
Kwenye hili sihitaji ushauri wakuu, nimesha fanya maamuzi..☹️
Ana mguu size 12,ukumbuke hilo.Paja la mbuzi analifuta peke yake bila kuomba msaada na mbwewe hapigi.Anadate na toyota brevis
Kwa kifupi babu kayakanyagaAna mguu size 12,ukumbuke hilo.Paja la mbuzi analifuta peke yake bila kuomba msaada na mbwewe hapigi.
Na hajui kadi ya benki imepoteaje ikiwa chumbani.Mungu saidia the old mzee.😂😂😂Kwa kifupi babu kayakanyaga
Kwamba mzee hawezi kuwa na mchumba? Mzee hawezi kuoa?Mimi nilijuaga wewe ni mbabu age go kumbe bado unatafuta
Naona amejizuia kwa muda ili afe kiume lakini waaapiii!Anahofia kufa ghafla halafu walimwengu wasingizie alikuwa na kisukari ambacho kilianzia kwenye visigino.Babu naona umeamua kunivuruga kichwa sasa...
Mbona classmate wako akina lowasa, mwendazake, R. Mengi.. Hawakuwa wachoyo kiasi hiki. 😳😳
tafuta sana pesa asee chakula sio kitu cha kumsimanga mtu mtandaoni.... kama huwezi kumlisha mwache apate mtu anayeweza hudumiaTumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.
Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.
Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga tunaendanae geto.
Yaani Mwa J ni komakoma shenzi type, binti alinikamulia kuku mzima, sasa funga kazi mie nilikuwa nakula kongoro nikatoa ngozi nikaiwekapembeni mara kaidaka na yenyewe kaipiga akaona haitoshi akachukua na bakuli la mchuzi wa kongoro akaunywa allooooo.
Last Sunday tulitoka akaagiza mguu mzima wa mbuzi pale Choma Zone, Mwa J akaula hadi akaumaliza, mbaya zaidi akamaliza hadi chumvi na pilipili.
Sasa huyu nikisema nioe sindio atakuwa anakula kuku mzima wakuu...🙄
Mwa J hajawai kaa na debe la unga wiki nzima wakuu, huyu sio jini kweli...😳
We mwanamke gani kwanza anakunywa maji kwa kutumia jagi...🤔
Kwanza Mwa J anamiguu ya kiume hadi viatu linavaa size 12.
Kha.... mwanamke gani huyu haponi uti wakuu...🙁
Kwanza ana makucha marefuuuu sijui huwa anafuaje nguo zake za muhimu maana nguo nyingine najua huwa anafuliwa na wale wadada wanaopita kwenye majumba kutafuta day waka.
Kwenye hili sihitaji ushauri wakuu, nimesha fanya maamuzi..☹️
Bado unaye? Km unaye unahitaji elimu ya afya ya akiliTumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.
Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.
Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga tunaendanae geto.
Yaani Mwa J ni komakoma shenzi type, binti alinikamulia kuku mzima, sasa funga kazi mie nilikuwa nakula kongoro nikatoa ngozi nikaiwekapembeni mara kaidaka na yenyewe kaipiga akaona haitoshi akachukua na bakuli la mchuzi wa kongoro akaunywa allooooo.
Last Sunday tulitoka akaagiza mguu mzima wa mbuzi pale Choma Zone, Mwa J akaula hadi akaumaliza, mbaya zaidi akamaliza hadi chumvi na pilipili.
Sasa huyu nikisema nioe sindio atakuwa anakula kuku mzima wakuu...🙄
Mwa J hajawai kaa na debe la unga wiki nzima wakuu, huyu sio jini kweli...😳
We mwanamke gani kwanza anakunywa maji kwa kutumia jagi...🤔
Kwanza Mwa J anamiguu ya kiume hadi viatu linavaa size 12.
Kha.... mwanamke gani huyu haponi uti wakuu...🙁
Kwanza ana makucha marefuuuu sijui huwa anafuaje nguo zake za muhimu maana nguo nyingine najua huwa anafuliwa na wale wadada wanaopita kwenye majumba kutafuta day waka.
Kwenye hili sihitaji ushauri wakuu, nimesha fanya maamuzi..☹️
Mwa J kama CCM tu AiseeeeLast Sunday tulitoka akaagiza mguu mzima wa mbuzi pale Choma Zone, Mwa J akaula hadi akaumaliza, mbaya zaidi akamaliza hadi chumvi na pilipili.
Kwanza amenishangaza alivyojinunisha hadharani kwa kuporwa ngozi ya kongoro.Ajipooze kwa kusikiliza wimbo wa "Yana mwisho"!tafuta sana pesa asee chakula sio kitu cha kumsimanga mtu mtandaoni.... kama huwezi kumlisha mwache apate mtu anayeweza hudumia
Siyo aongeze juhudi ya kusaka ndururu?Ushauri wa kisaikolojia haumalizi njaa kali ya shemeji Mwa J ujue?Huyo ataua watoto... enewei mpeleke kwa wataalam wa saikolojia. Pole sana mkuu
ACHA ROHO MBAYATumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.