Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.

Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.

Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga tunaendanae geto.

Yaani Mwa J ni komakoma shenzi type, binti alinikamulia kuku mzima, sasa funga kazi mie nilikuwa nakula kongoro nikatoa ngozi nikaiwekapembeni mara kaidaka na yenyewe kaipiga akaona haitoshi akachukua na bakuli la mchuzi wa kongoro akaunywa allooooo.

Last Sunday tulitoka akaagiza mguu mzima wa mbuzi pale Choma Zone, Mwa J akaula hadi akaumaliza, mbaya zaidi akamaliza hadi chumvi na pilipili.

Sasa huyu nikisema nioe sindio atakuwa anakula kuku mzima wakuu...🙄

Mwa J hajawai kaa na debe la unga wiki nzima wakuu, huyu sio jini kweli...😳

We mwanamke gani kwanza anakunywa maji kwa kutumia jagi...🤔
Kwanza Mwa J anamiguu ya kiume hadi viatu linavaa size 12.

Kha.... mwanamke gani huyu haponi uti wakuu...🙁

Kwanza ana makucha marefuuuu sijui huwa anafuaje nguo zake za muhimu maana nguo nyingine najua huwa anafuliwa na wale wadada wanaopita kwenye majumba kutafuta day waka.

Kwenye hili sihitaji ushauri wakuu, nimesha fanya maamuzi..☹️
Umemtoa Mkoa gani?
 
Naona amejizuia kwa muda ili afe kiume lakini waaapiii!Anahofia kufa ghafla halafu walimwengu wasingizie alikuwa na kisukari ambacho kilianzia kwenye visigino.
Kuna mzee mmoja, aliandaa kachumbari, kisha akaelekea ibadani, alivyoludi akakuta kachumbari yake imeliwa. aiseeee.. Mpaka leo miaka 40 sasa imetimia hajulikani alipo.
 
kama anakata mitungi au kuvuta mjani au vyote, hiyo ni kawaida la sivyo alikuwa tu na hamu ya kuku afpia kuku sio chakula hata mimi kuku mzima nakula namaliza ila ingekuwa labda ugali ndo ungemaindi. Cha muhimu mboga za kishua muwe mnakula kila baada ya siku mbili tatu!
 
Kumbe na wewe unatukanaga😂
Sina historia ya kutukana mkuu, tena hata najiona kama leo nimejikosea sana lakini kama binadam nimejikuta nashindwa kuvumilia mjinga mmoja amekua akinijaribu kisa tu wivu mazee....
Hawa vijana wanaonekana washamba sana mazee, humu jf watu tulikua tunakula kimyakimya na hapakua na makelele mkuu
 
Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.

Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.

Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga tunaendanae geto.

Yaani Mwa J ni komakoma shenzi type, binti alinikamulia kuku mzima, sasa funga kazi mie nilikuwa nakula kongoro nikatoa ngozi nikaiwekapembeni mara kaidaka na yenyewe kaipiga akaona haitoshi akachukua na bakuli la mchuzi wa kongoro akaunywa allooooo.

Last Sunday tulitoka akaagiza mguu mzima wa mbuzi pale Choma Zone, Mwa J akaula hadi akaumaliza, mbaya zaidi akamaliza hadi chumvi na pilipili.

Sasa huyu nikisema nioe sindio atakuwa anakula kuku mzima wakuu...[emoji849]

Mwa J hajawai kaa na debe la unga wiki nzima wakuu, huyu sio jini kweli...[emoji15]

We mwanamke gani kwanza anakunywa maji kwa kutumia jagi...[emoji848]
Kwanza Mwa J anamiguu ya kiume hadi viatu linavaa size 12.

Kha.... mwanamke gani huyu haponi uti wakuu...[emoji853]

Kwanza ana makucha marefuuuu sijui huwa anafuaje nguo zake za muhimu maana nguo nyingine najua huwa anafuliwa na wale wadada wanaopita kwenye majumba kutafuta day waka.

Kwenye hili sihitaji ushauri wakuu, nimesha fanya maamuzi..[emoji3525]
Umeiwasilisha kitaalamu sana mh mjumbe
 
Back
Top Bottom