Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

Sina historia ya kutukana mkuu, tena hata najiona kama leo nimejikosea sana lakini kama binadam nimejikuta nashindwa kuvumilia mjinga mmoja amekua akinijaribu kisa tu wivu mazee....
Hawa vijana wanaonekana washamba sana mazee, humu jf watu tulikua tunakula kimyakimya na hapakua na makelele mkuu
humu jf watu tulikua tunakula kimyakimya na hapakua na makelele mkuu.😁😁😁😁😁😁😁
 
Principle yangu ni moja mtu anapomfanyia ubaya mwingine kwangu ni red flag kubwa sana hasahasa humu jf id wanazotoa siri za wengine, wanaotukana mimi nakaa nazo mbali sababu kama leo kaweza kumfanyia mtu jambo baya atashindwa nini kunifanyia mimi siku nyingine?
Mbona nakutukana kila Mara na haunifanyi kitu. ?
 
Back
Top Bottom