Huyo jamaa akishauziwa hicho kiwanja ahakikishe haanzi ujenzi mpaka hati miliki kutoka wizarani yenye majina yake kamili imetokaKama kweli wewe una nia nzuri na huyo mwanaume muuzie hicho kiwanja kwa bei nzuri, Alafu ajenge nyumba muishi.... Ukishindwa kufanya hivyo basi yupo sahihi kuwa na wasiwasi
Hela zake ni za kazi gani sasaBora mwanamke ajenge kwenye kiwanja cha Mwanaume. Ila sio kiwanja cha Mwanamke we mwanaume ukajenge imekula kwako.
Mimi mke wangu ana pesa ila sijawahi mwambia achangie hata ujenzi wala sitaki anichangie hata Ada ya watoto. Hata Chumvi kununua sitaki.
Pesa zake akajenge kiwanja kingine atapangisha apate pesa.
Sitaki dharau mimi😆😆
Mi nilidhani anatakiwa kuhofia kukupoteza wewe na sio property.Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]
Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] safiAt your own risk [emoji16]
Pamoja na Hilo huna authority na hiyo nyumba Kwa sababu inakuwa ya familia na hata mkigombana saizi mwanamke ana Watoto hautouzw na Cha kumfanya huna.Bora mwanamke ajenge kwenye kiwanja cha Mwanaume. Ila sio kiwanja cha Mwanamke we mwanaume ukajenge imekula kwako.
Mimi mke wangu ana pesa ila sijawahi mwambia achangie hata ujenzi wala sitaki anichangie hata Ada ya watoto. Hata Chumvi kununua sitaki.
Pesa zake akajenge kiwanja kingine atapangisha apate pesa.
Sitaki dharau mimi😆😆
Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi
Muhuni unatoka hapo na begi tu🤔🤔 unaenda kuanza upyaaaaAjengewe afu aanze vituko na jamaa asepe akiwa hana chochote,
Badirisha Jina la hati ya kiwanja kutoka Jina lako kwenda Jina lake alafu mwambie ajenge akigoma na hapo niite nimekaa pale,Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]
Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Mama lazima akushawishi mwanae umchune bwana!Mama angu anaingiaje katika mali binafsi ilihali nae ana za kwake
Bora kuziba ufa kuliko kujenga ukutaTulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]
Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.