Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

Bora mwanamke ajenge kwenye kiwanja cha Mwanaume. Ila sio kiwanja cha Mwanamke we mwanaume ukajenge imekula kwako.

Mimi mke wangu ana pesa ila sijawahi mwambia achangie hata ujenzi wala sitaki anichangie hata Ada ya watoto. Hata Chumvi kununua sitaki.

Pesa zake akajenge kiwanja kingine atapangisha apate pesa.

Sitaki dharau mimi😆😆
Hela zake ni za kazi gani sasa
 
Nguvu ya mamba kumayi. Mwanaume kamili ndio huyo katuwakilisha vyema inaonekana mwamba anahudhullriaga vikao vizuri. Ww jenga mkae sio yeye ajenge akimaliza umteme aanze kuhangaika. Alaf madem mnataftaga laana za ajabu hapo nia yako ni umlaghai umteme alaf unamwambia wekeze kabisa acheni kujitaftia mikosi kwenye maisha. Isiookukuta ww hata mwanao inamkuta
 
Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]

Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Mi nilidhani anatakiwa kuhofia kukupoteza wewe na sio property.

Kweli mahusiano ya sasa yamekaa kimchongo mchongo.
 
Bora mwanamke ajenge kwenye kiwanja cha Mwanaume. Ila sio kiwanja cha Mwanamke we mwanaume ukajenge imekula kwako.

Mimi mke wangu ana pesa ila sijawahi mwambia achangie hata ujenzi wala sitaki anichangie hata Ada ya watoto. Hata Chumvi kununua sitaki.

Pesa zake akajenge kiwanja kingine atapangisha apate pesa.

Sitaki dharau mimi😆😆
Pamoja na Hilo huna authority na hiyo nyumba Kwa sababu inakuwa ya familia na hata mkigombana saizi mwanamke ana Watoto hautouzw na Cha kumfanya huna.

Ni hivi nyumba ya familia ni ya mwanamke na Watoto na ndio maana wanaume wengi Huwa wanasusa na kuondoka kwenda kuanza Upya.
 
Wasiwasi ndio akili...huyo ndio gentlemen..ukimpata atakayejenga juu ya kiwanja chako bado ni mvulana huyo.

Tumekubaliana kuwa wanaume wote tutaanza kujenga kwenye viwanja vya wanawake pale tu tutakapopata nguvu ya kuhamisha nyumba kama tunavyoweza kuhamisha sufuria.
 
Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]

Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Badirisha Jina la hati ya kiwanja kutoka Jina lako kwenda Jina lake alafu mwambie ajenge akigoma na hapo niite nimekaa pale,
 
Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]

Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Bora kuziba ufa kuliko kujenga ukuta

Mpenzi wako mpe credits zake , anaona mbali
 
Hii ilitakiwa tumshauri yeye huyo mpenzi wako.

Lakini ktk hiyo asijaribu kujenga kwenye hicho kiwanja chako. Nyie wanawake hamuelewekagi. Mkishikwa kidogo akili na kupangwa,unageuka kabisa. Leo unajiona huwezi kufanya chochote ikitokea lolote huko mbele,lakini amini huko mbele hautakuwa wewe tena, shetani amekaa katikati yenu wanawake. Akijenga kwenye hicho kiwanja ahesabu amepoteza. Anunue tu uwanja mwingine sio huo wako. Kama amesita kujenga kwenye huo uwanja jua kabisa umepata mwanaume. Na asisite,akatae kabisa wala fikra zisiwepo.
Na usimshawishi tena kujenga hapo. Baadae uzeni hicho kiwanja ingizeni kwenye mambo yenu mengine mchanganyiko
 
Back
Top Bottom