Pole sana mkuu
Muweke wazi failure to join you na ndoa hakuna!
Komaa wewe mwanaume, usikubali eti mfunge ndoa geresha then kila mtu afuate dini yake..USIKUBALI
Muweke wazi failure to join you na ndoa hakuna!
Komaa wewe mwanaume, usikubali eti mfunge ndoa geresha then kila mtu afuate dini yake..USIKUBALI
Baada ya safari ndefu ya mahusiano tumefikia hatua ya kufunga ndoa ila binti ni mkatoliki Mimi msabato to mpaka sasa hatujafikia mwafaka nani amfuate nwenzie japo kisheria tumezoea mean mall anamfata mwanaume lakini yy hataki na hayupo tiyali kuhama romA