Wakilimkuu
Member
- Apr 15, 2024
- 91
- 106
Naomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua.
Sasa nikakubaliwa rafiki yangu akapa kazi akahama mji, jana mimesajili line mpya kwa ya mtu mwingine, nikajifanya mimi ni huyo rafiki yangu nikamuambia mpenzi wangu kwamba wiki ijayo nakuja mkoa X nataka tuonane then unipe penzi akakubali kwamba nisijali atanipatia.
Hapa najiuliza hawa wanawake ni tamaa au ndivyo walivyo nimeona thread mbili hapa jukwaani inayofanana na hii yangu, weza wao nao walikubali.