Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Umeyatafuta maumivu, umeyapata halafu tena unalalamika.
Wewe na huyo demu wako ni pipa na mfuniko.
Wewe na huyo demu wako ni pipa na mfuniko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazingua mkuuUmeyatafuta maumivu, umeyapata halafu tena unalalamika.
Wewe na huyo demu wako ni pipa na mfuniko.
Kwasababu gani asikataeSasa hapo shida iko wapi jamani🤷🤷
Kwa sababu gani akatae?Kwasababu gani asikatae
Ko ulitegemea dem wako akatae??Unazingua mkuu
Lengo nipime upendo wake akikubaliKo ulitegemea dem wako akatae??
Kwani yeye hapendi mali mpya?
Yaani we ulivyo kolo wa mwisho, unamtest afu huna maamuzi ikiwa itanenda tofauti.
Haya lengo la kumtongoza kw namba feki ni nini??
LocationTayar njoo
Na utaachwaLengo nipime upendo wake akikubali.inabidi nimwambie kwamba ni mimi then nitapunguza upendo
JjggghhhdxcvhfddvbnhfddcvbhfddLocation
Kwahy bora nisimuambie?Na utaachwa
KabisaKwahy bora nisimuambie?
Kuna kuelewa na kukubali ukweli ama uhalisia wa Jambo lilivyo emotionally, physiologically, spiritually, mentally and physically. Hapo ndio kuna kazi mno. Ni sawa na Ile nimekusamehe Ila karoho kanauma bado. Ama unasema tu mdomoni kuwa Sina wivu Ila jamaa akifanya mambo makubwa kukuzidi unapata ka maumivu unabaki unateseka na kuumia ndani kwa ndani mwishowe mpaka kansa inatakoeaHapo nimekuelewa mkuu
Ok mkuuKabisa
Katikati ya v na nJjggghhhdxcvhfddvbnhfddcvbhfdd
Mjanja sana🤣🤣Katikati ya v na n
🏃🏃🏃Mjanja sana🤣🤣
Hakuna mapenzi ya hivyo wewee, hapo ushaonyesha humwamin, sasa unaendelea vya kaz gani?? Au unataka tukushaur nin🚮🚮🚮🚮Naomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua.
Sasa nikakubaliwa rafiki yangu akapa kazi akahama mji, jana mimesajili line mpya kwa ya mtu mwingine, nikajifanya mimi ni huyo rafiki yangu nikamuambia mpenzi wangu kwamba wiki ijayo nakuja mkoa X nataka tuonane then unipe penzi akakubali kwamba nisijali atanipatia.
Hapa najiuliza hawa wanawake ni tamaa au ndivyo walivyo nimeona thread mbili hapa jukwaani inayofanana na hii yangu, weza wao nao walikubali.
Mawazo/maumivu ya ndani kwa ndani yanasababisia kansa?Kuna kuelewa na kukubali ukweli ama uhalisia wa Jambo lilivyo emotionally, physiologically, spiritually, mentally and physically. Hapo ndio kuna kazi mno. Ni sawa na Ile nimekusamehe Ila karoho kanauma bado. Ama unasema tu mdomoni kuwa Sina wivu Ila jamaa akifanya mambo makubwa kukuzidi unapata ka maumivu unabaki unateseka na kuumia ndani kwa ndani mwishowe mpaka kansa inatakoea