Mpenzi wangu kakubali kukutana kimwili na rafiki yangu

Usimuhukumu huenda ananogesha chati tu, we nenda mkoa X akikupa penzi ndio utajua kama kweli angempa au la.
 
Blood hao ndio wanawake sasa wa kizazi hiki hio ndio nature yao na ipo hivo huwezi kuibadilisha. Hata ukimwacha huyo ukaenda kwa mwingine kazi ipo palepale.

Chakufanya hapo jiongezee thamani tafuta hela mkuuu ushawi sikia mke wa bakheresa au mo kafumaniwa
 
IMG_0620.jpeg
 
Usimuhukumu huenda ananogesha chati tu, we nenda mkoa X akikupa penzi ndio utajua kama kweli ang

Blood hao ndio wanawake sasa wa kizazi hiki hio ndio nature yao na ipo hivo huwezi kuibadilisha. Hata ukimwacha huyo ukaenda kwa mwingine kazi ipo palepale.

Chakufanya hapo jiongezee thamani tafuta hela mkuuu ushawi sikia mke wa bakheresa au mo kafumaniwa
Hapo mkuu umeongea point
Mwenyenzi mungu azidi kukuweka
 
Naomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua.

Sasa nikakubaliwa rafiki yangu akapa kazi akahama mji, jana mimesajili line mpya kwa ya mtu mwingine, nikajifanya mimi ni huyo rafiki yangu nikamuambia mpenzi wangu kwamba wiki ijayo nakuja mkoa X nataka tuonane then unipe penzi akakubali kwamba nisijali atanipatia.

Hapa najiuliza hawa wanawake ni tamaa au ndivyo walivyo nimeona thread mbili hapa jukwaani inayofanana na hii yangu, weza wao nao walikubali.
Utakufa na pressure kijana jitathmini
 
Keyword =Mpenzi
 
Ndo maana mnakufa mapema. Mna upuuzi mwingi
 
Back
Top Bottom