Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta tafsiri ya 'Castor plant' kwa kiswahili.nje ya mada,,io mbarika kikwetu n chawa je ndio maana yako pia?
Eeeh tayar,, asanteTafuta tafsiri ya 'Castor plant' kwa kiswahili.
IdiotNaomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua.
Sasa nikakubaliwa rafiki yangu akapa kazi akahama mji, jana mimesajili line mpya kwa ya mtu mwingine, nikajifanya mimi ni huyo rafiki yangu nikamuambia mpenzi wangu kwamba wiki ijayo nakuja mkoa X nataka tuonane then unipe penzi akakubali kwamba nisijali atanipatia.
Hapa najiuliza hawa wanawake ni tamaa au ndivyo walivyo nimeona thread mbili hapa jukwaani inayofanana na hii yangu, weza wao nao walikubali.
Ulifanya upuuzi wa hali ya juu sana.Naomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua.