Mpenzi wangu kakubali kukutana kimwili na rafiki yangu

Mpenzi wangu kakubali kukutana kimwili na rafiki yangu

Kuna vitu vinatia uvivu hata kuvisoma

Wewe umesema ni mpenzi wako sio mkeo sasa hayo mamlaka ya kutaka kumpangia wa kukutana nae kimwili unayatoa wapi?
Umri wa kuoa ukifika tuoe tuache ujingaujinga kama huu wa kupangia watu jinsi ya kutumia miili yao
Ndiyo hivyo umeshasoma mkuu
 
Mawazo/maumivu ya ndani kwa ndani yanasababisia kansa?
Mbona Kama una doubt. Yaani nikuambie tu tunaugua kisa Cha ulaji wetu, mtindo wa maisha yetu la tatu ni kuhusiana na mental peace mpaka huko kwa spiritual, ukiwa na amani kabisa kabisa emotionally huwezi ugua. Stress ama mawazo , msosoneko , Yale maumivu kila kitu unaumia kabisa unalalamika , lazima utaugua kwa muda mrefu , Kuna kitambo Cha shida unakijua yaani unanenepa Ila ni kisa chakula hakiswagi vizuri
 
Umeongea point mkuu
Mwenyenzi mungu azidi kukuweka
 
Mtoa mada huelewek mwanzo wa story na mwisho wa story

We ni ke au me ?!
 
Naomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua.

Sasa nikakubaliwa rafiki yangu akapa kazi akahama mji, jana mimesajili line mpya kwa ya mtu mwingine, nikajifanya mimi ni huyo rafiki yangu nikamuambia mpenzi wangu kwamba wiki ijayo nakuja mkoa X nataka tuonane then unipe penzi akakubali kwamba nisijali atanipatia.

Hapa najiuliza hawa wanawake ni tamaa au ndivyo walivyo nimeona thread mbili hapa jukwaani inayofanana na hii yangu, weza wao nao walikubali.
Usimuite mke wako muite mwanamke "mwanamke niliyenaye kakubali kulala na rafiki yangu"
 
This is nature , you can't deny or control nature otherwise find your own nature. Mbona watu wanataka kulazimisha perfection duniani?
Embrace imperfections otherwise you'll die, you'll try to control uncontrollable. Someone who isn't matured or manly enough s/he thinks somewhere, something or sometime the life will be ideal perfect without any flaws, scar, sadness, etc dunia yenyewe Ina milima na mabonde. Hujakomaa bado ukishakomaa utaacha na utakuja kukubaliana namie, yaani Ni ishu ya muda tu nadhani. After you're matured enough we'll talk the same language.

Nikuulize swali unaye demu wako ukipata k nyingine hut00mbi kweli?
Mfano mwingine ukazimikiwa na mtt wa kiarabu, kisomali, kihindi , kiethiopia ama kinyarwanda hutowat00mba ama utajifanya kuwa wewe unaye mpenzi unampenda na Ni mwamifu mno.

Haya tuje binti wa Clinton, Obama, ama majukumu wa trump akakutaka mkaishi huko USA akakutumia na kitu Kama dola laki moja nauli na mazaga yote utakataa.

Tukubali nature why mnyama MLA nyasi anaenda penye nyasi nzuri na laini, Simba, chui, mamba anachagua kilicho kinono anakula so wewe unadhani kuwa binadamu Ni mjinga mno kutojua anataka Nini.

Kwa taarifa yako Kuna tajiri mmoja huko mwanza mwanza alimpenda mke wa mtu wakakubaliana jamaa akapewa mahari akakubali akaolewa na huyo tajiri wa mabasi yanayoenda Dar nk.

Let us talk reality. I was like you one time niliwapa majaribu mademu.
Hakuna aliye mkamilifu na baada ya kumuoa utagongewa upende usipende. Atachombezwa hata kwa utani Kama unavyochombeza wa wengine.
You and your partner ain't special you're like any other human being. Accept our humanness and our flaws to live peacefully in this Wonderful world that God granted us shortly
Umeongea uhalisia ambao wengi huukwepa. That's pure nature.
 
Umeomba papuchi umekubaliwa unakuja kulala humu! We nenda eneo la tukio kale utamu then utafanya maamuzi umuache au umsahehe. Maisha mafupi usicomplicate mambo
 
Kwanza, wewe ni muhalifu. Kwa nini unasajili line kwa jina la mtu mwingine kwa nia ya kumhadaa mpenzi wako?

Ndugu mlalamikaji, kumbuka huyo ni mpenzi wako. Si mkeo. Kama unataka kuumia vizuri, oa. Kisha akichepuka ndiyo ulalamike.

Ushauri ninaokupa mimi, acha utoto na upuuzi.
Nakazia
 
Sio kwamba ndo kukubali ni kwamba jamaa asha wahi kuchapa so hayo ni marudio tu
 
Umeongea uhalisia ambao wengi huukwepa. That's pure nature.
Wengi mno wanafarijiana na wakati ukiwa in real difficult situation unakimbiwa ama unamkimbia mtu mapema.
Maandiko yenyewe yanadai Kuna njaa ambayo mama atamkana mwanaume. Upendo ni wakati mkiwa kwenye peak ya sexxxs Ila ikiishaisha pia binadamu Hana tofauti na mnyama kila mnyama anajua wapi ale pia na kila mmea unajua eneo lake la kuota. Unafikiri magugu maji hayana akili kuishi majini mbona hayaoti jangwana ama in Savannah climate.

So na wewe usipokuwa na rutuba ni asili hakuna atakayekuwa kwako hata mzazi wako anaweza kukimbia.
Unadhani nzi ni wajinga hawawezi ishu penye uchafu kweli ama penye kidonda na ukipona huwaoni.

Kama huna kunguni, mende na wadudu wengineo like chawa uelewe unapoishi hapana rutuba ama sio rafiki kwao. Gari yenyewe inatumia mafuta weka maji haiwaki. Sasa wewe ishi na mme wako eti unampenda wakati usipomsaidia chochote unachokwa Mana ngono Ina mwisho wake.

.inabidi ukweli usemwe ndivyo asili ilivyo mie nije kwako kwa lipi. Ukiwa hupati marafiki wengi Ina huna potential, life is trading mtu atabadishana Nini na wewe. Toa mahindi chukua mtama Sasa wewe utoe mtama utapokea Nini in return.

Yaani hii kanuni ya asili wanawake wanaifahamu mno yaani mno. Hana huruma na wewe ukiwa huna hela.
Hela inanunua chakula kizuri.
Unadhani binadamu Ni mjinga akae na wewe karibu ili iweje Kama nzi mwenyewe anakukimbia kidonda kikipona. Kacheki movie ya best wife. Huyo mkeo jifanye umekamatwa na ufungwe jela mwaka mmoja ili umpime na ufukuzwe kazi, ndio utajua uhalisia ya asili ama nature.

Let us be real na sio kudanganya eti tunapendana Kuna conditions if don't meet no more love
 
Naomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua.

Sasa nikakubaliwa rafiki yangu akapa kazi akahama mji, jana mimesajili line mpya kwa ya mtu mwingine, nikajifanya mimi ni huyo rafiki yangu nikamuambia mpenzi wangu kwamba wiki ijayo nakuja mkoa X nataka tuonane then unipe penzi akakubali kwamba nisijali atanipatia.

Hapa najiuliza hawa wanawake ni tamaa au ndivyo walivyo nimeona thread mbili hapa jukwaani inayofanana na hii yangu, weza wao nao walikubali.
ishi nao kwa akili 😂😂
 
Back
Top Bottom