Mpenzi wangu kaniuliza swali, nimeshindwa kumjibu

Uchawi siku hizi hautegemei kabila wala familia. UCHAWI UNAUZWA wanaenda tu kwa waganga wa kienyeji
 
Ungemjibu "nitapenda wanawake wote waliopo kwenye ukoo wenu".

Bado asubuhi unaingia kaz mfanyakaz mwenzio anakwambia " we jamaa unajidai unapiga kaz sana ngoja uje ulogwe" ndio utajua ayo mawazo ya sasa hiv ni kachumbali tu.
 
Kwa kifupi hapo hakuna mchawi ni vile ameshindwa namna ya kuekezea jinsi anavyojivunia kupendwa na ww
 
Labda mwanao huyo kachanja au Mke wake anapewa dawa ambayo siyo sahihi au anapewa ambayo ni sahihi anakosea kutengeneza.

Limbwata zipo aisee.
 
Mademu wa kibongo kuroga wanaume siku hizi imekuwa fashion.
 
Luka 6:45

Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake

Nakazia📍🔨

Mwanzo 20: 6-8
"Na mtu yule atakayewaendea wenye pepo, na wachawi, ili kuzini pamoja nao, nitakaza uso wangu juu ya mtu yule, nitamtenga na watu wake.
Jitakaseni basi, iweni watakatifu, kwa kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wenu. Nanyi zishikeni sheria zangu, na kuzitenda; Mimi ndimi Bwana niwatakasaye ninyi."
 
Luka 6:45

Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake
[emoji123][emoji123] good reference
 
Kama katamkahivyo jua moyoni anawaza hilo sasa subiri tu kuwa mtumwa wa mtoto wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…