Mpenzi wangu kaniuliza swali, nimeshindwa kumjibu

Fear of unknown. Uchawi haupo. Achana na mila potofu. Vitu visivyoonekana wala havipo
 
Luka 6:45

Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake
Ni majibu sahihi kwa wakati sahihi.

Luka 6:45
 
Umesharogwa tayari so anataka kupima Kama dawa zinafanya Kazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umeniamsha mkuu! Nlikuwa najiuliza kila siku mi nna shida gani? Nshaoa lakini kwa X sipindui ananidrive kshenz
[emoji16][emoji16][emoji16] yaani unakuwa drived mpaka unajua na still upo tu [emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmecheka sana
 
6:45

Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake
kuhusu hili andiko napingana nalo:
VIPI KAMA IKIWA ANANENA MAZURI, NYUMA YA MGONGO WANGU MSALITI?
 
One man down
 
Labda kakuroga ndo amekupa taarifa hivyo.na ukiendelea kuzila ndo anaenda kuendelea na kufukiza ili likukolee vizuri.Japo sikuwepo wakati anasema lakini najua kuwa tumeambiwa tuishi nao kwa akili.
 
kuna watu huwa na matani mengi ila wanasema kweli kama utani hivi, kua makini bro
 
Mkuu chukua maamzi haraka na jitahidi uvunje record ya Filbert Bahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…