Mpenzi wangu kaolewa, nina kosa lolote hapa?

Mwenye kosa ni huyo alieoa demu "used", ndio maana nawahimiza tuoe bikra
 
Pisi za kumwaga mnahangaika na hiyo moja ina nini cha ajabu mtakuja kupata magonjwa ya ajabu na kuja kujutia baadae ukijipenda ni pamoja na kulinda afya yako sio unajua hii pisi ina muhuni mwingine harafu unataka kumega mega aisee akiweza kuwaweka wawili na mkajua jua huyo ni hatari kupitiliza ana wengine tena..
 
hospitali kwenye njia za kujilinda na magonjwa hiyo ya kuachana sikuambiwa kiongozi
 
Oooh Grace. Na utachapiwa mpaka uombe poo. Mwambie Grace azingatie matumizi ya kondomu kwenu wote mnaomla. Vinginevyo gridi ya taifa inawaita. Nyote ni wajinga!

 
ushauri wangu, wewe kula sanaa kabla hujakulwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…