Cr wa familia
JF-Expert Member
- Jun 18, 2023
- 1,064
- 1,442
😀😀 akivuka mwaka ndo atarefuka au vpMiezi mitatu anataka akamtambulishe ili iwe nini
Atulie angalau mwaka asijitie nuksi unamtambulisha mtu anakuacha miezi 3 mapema kutambulishana au ana hakika watavuka mwaka[emoji1787]
Hapa utapata ushauri wa hovyo kuhusu ufupi wa mtu maana binadamu wa kiTanzania hutoa ushauri mbovu ili kukupoteza, ufupi siyo ugonjwa na mtu mfupi anaweza kua Bora kuliko hao anao wadhani yeye, kwenye mapenzi kwa nini alimkubali? Na yamkini amekua akitumia matumizi ya huyo huyo mfupi, binafsi sijawahi kuona shida ya mtu mfupi, labda awe ni yule mfupi kwa maana ya ulemavu kama wale watu wa Congo, lakini ufupi wa mtu tu ule wa kawaida sioni tatizo lolote, zaidi ni kwamba, huyo binti ana matamanio yake ambayo ni batili, alimkubali huyo kwa sababu ya shida zake au tamaa, lakini kwa kua anamchambua kwa maumbile ya ufupi basi naona wazi huyo binti ni dish [emoji341] lake limeyumba kichwani, na watakua ni hawa mabinti wenye miaka 25-29Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri
Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi
Money penny: kwahiyo unasemaje?
Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?
Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Siyo tu ana hela, huyo binti ni kichaa na ni Malaya, mfupi wa kusemwa ni wale kama wa Congo, mbilikimo yani, lakini ufupi huu wa kawaida mtu anaongea, huyo ni Binti mshenzi tu asiye na maana na analala na wanaume wengi na akili yake inamwambia mwanaume Bora ni mtu mrefu tu, anashindwa kuelewa huyo mrefu anaweza kabisa asiwe Bora zaidi ya huyu mfupi, na mala nyingi huyu anayeitwa mfupi utakuta ni mtu wa kawaida wa kati tu, yaani siyo mfupi wala siyo mrefu, ndiyo waTanzania wengi walivyoHuyo ni Malaya kama wengine tu,kama hampendi Hadi kufikia kiwango Cha kuona aibu Sasa wa kazi gani si aachane nae? Usikute Mr mfupi ana Hela Kwa hiyo hako kabinti kanashindwa kuchomoka
Huyo Binti ni wa kuchezewa tu na kutupwa siyo wa kuolewa!Siyo tu ana hela, huyo binti ni kichaa na ni Malaya, mfupi wa kusemwa ni wale kama wa Congo, mbilikimo yani, lakini ufupi huu wa kawaida mtu anaongea, huyo ni Binti mshenzi tu asiye na maana na analala na wanaume wengi na akili yake inamwambia mwanaume Bora ni mtu mrefu tu, anashindwa kuelewa huyo mrefu anaweza kabisa asiwe Bora zaidi ya huyu mfupi, na mala nyingi huyu anayeitwa mfupi utakuta ni mtu wa kawaida wa kati tu, yaani siyo mfupi wala siyo mrefu, ndiyo waTanzania wengi walivyo
[emoji1787][emoji1787]Wafupi tunabezwa
Wakati anakuibukia alikuwa mrefu ukamkubalia kwenye kumtambulisha kawa mfupi.
Sijui nikusaidieje ila huyo ndugu’angu namhurumia siku ukimgeuka!
[emoji1787][emoji1787]Wewe uko na urefu kimo gani nae urefu wake kwa makisio nikama kimo gani maana asiwe katoka Kongo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umesahau pia wote humu tuna Hela nyingi sana na ni watu wakubwa maofisini na kwenye jamiiAchana nae, njoo utafute mume JF.
Humu kila mwanaume ni mrefu halafu mweusi tii, na kila mwanaume humu JF akiwa anakula mzigo anapiga sho kali na mwanamke anarusha maji! Karibu sana.
[emoji1787][emoji1787]Amnunulie buti za jeshi apande juu kidogo hahaha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnunulie raizon ngazi tano avae
Huo ufupi hakuuona wakati anatongozwa?Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri
Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi
Money penny: kwahiyo unasemaje?
Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?
Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Mbona hajadisclose whether NYETI zake nazo ni fupi ama la?Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri
Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi
Money penny: kwahiyo unasemaje?
Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?
Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Hiyo ndio hali halisi, hawezi kosa mume JF maana wanaume wote humu JF wana maisha mazuri, wana magari na ni warefu [emoji23][emoji23]![emoji1787][emoji1787][emoji1787] umesahau pia wote humu tuna Hela nyingi sana na ni watu wakubwa maofisini na kwenye jamii
SureHuyo Binti ni wa kuchezewa tu na kutupwa siyo wa kuolewa!
Tuma pica tuonsMVALISHE VIATU VYENYE VISIGINO VIREFU NA SURUALI NDEFUUU PANA, PROBLEM SOLVED