Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah hapo kumbe umenipata sasa, Ni ujinga dunia ya leo kudanganywa kwa mbinu za kizamani.Mkuu umenena, familia yake ile hela zangu za posa na harusi wakati mzigo siujui? Labda ingekuwa chupa ya bia ndo ningesema nikifungua itapoa dadadeki
Wengi walishamfuata mpaka matajiri ila hakuna anayetaka kuoa pila kugusa Valve msimamo wake ni huohuo sasa ataolewa na pump huko tunakoendaKama ameshaanza kukuambia wewe ubadilishe dini, sijui atakupa mbususu mpaka umuone hauoni unapoteza muda wako? Wanawake wako wako wengi, wazuri wa dini yako, acha kupoteza muda. Maisha hayakusubiri
Naona huwajui wanawake vizuri mkuu. Nature ya mwanamke ni mbinafsi, utakuja kujutaWengi walishamfuata mpaka matajiri ila hakuna anayetaka kuoa pila kugusa Valve msimamo wake ni huohuo sasa ataolewa na pump huko tunakoenda
Nakazia maana hawa wadada wamekua matapeli sana, ukute kanatifuliwa huko kila mkao Alafu akanakudanganya eti bikra, mwisho wa siku break pumbu nusra kupitilizaKama ni sildi kweli haupaswi kumtafuna kabla ya ndoa. Maana amejitunza kwa ajili hiyo.
Hoja kuu ni muweke makubaliano ya maandishi kwamba kama amekudanganya baada ya ndoa usipokuta virginity ndoa inavunjika na hela anakulipa za hasara
Linda mda wako na pesa zako, kama anataka ndoa akupe ushahidi wa bikra yake tofauti na hapo, toka nduki usigeke nyuma[emoji120]
Kataa Ndoa mzeee 😄😀Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku atanifungulia mlango ni baada ya ndoa yetu na anataka ndoa ifanyike 2025
Nimekaa chini nimefikiria sana nimeona ni ujinga kwasababu siwezi kuvumilia nikisubiri kupita ndani kwa muda wote huo pia siwezi kutumia fedha zangu kufunga harusi ya mamilioni na mtu ambaye ameninyima Valve
Lengo langu lilikua moja tu anipe Valve nijaze upepo na niende kwa wazazi wake hata leo nipo tayari ila yeye ndiye chanzo
Nimeona nikimsikiliza inamana kuwa atakuwa amenikosea sana kwa kunipeleka atakavyo yeye wakati mm ndiye nitamgharamikia
Wakulungwa hii kwenu imekaaje kwasababu kitendo cha kukataa kutoa Valve tayari ni kosa kubwa ni sawa na kutokunipenda kwangu hiyo ndiyo tafsiri yangu
Kubwa kuliko yote anataka nibadilishe dini jambo ambalo siwezi kamwe kwanza sitaki kusikia mtu yeyote akineleza maswala ya dini
View attachment 2876400