50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,088
- 4,059
Wazazi wa huyu Binti watajiona wenye bahati sana
Wazazi wa huyu Binti watajiona wenye bahati sana ukimwoa akiwa sild.
Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku atanifungulia mlango ni baada ya ndoa yetu na anataka ndoa ifanyike 2025
Nimekaa chini nimefikiria sana nimeona ni ujinga kwasababu siwezi kuvumilia nikisubiri kupita ndani kwa muda wote huo pia siwezi kutumia fedha zangu kufunga harusi ya mamilioni na mtu ambaye ameninyima Valve
Lengo langu lilikua moja tu anipe Valve nijaze upepo na niende kwa wazazi wake hata leo nipo tayari ila yeye ndiye chanzo
Nimeona nikimsikiliza inamana kuwa atakuwa amenikosea sana kwa kunipeleka atakavyo yeye wakati mm ndiye nitamgharamikia
Wakulungwa hii kwenu imekaaje kwasababu kitendo cha kukataa kutoa Valve tayari ni kosa kubwa ni sawa na kutokunipenda kwangu hiyo ndiyo tafsiri yangu
Kubwa kuliko yote anataka nibadilishe dini jambo ambalo siwezi kamwe kwanza sitaki kusikia mtu yeyote akineleza maswala ya dini
Vilevile katika maisha yangu sitaki mtu yeyote anayeneleza ujinga unaoitwa Masharti, nachukia sana masharti kwasababu siwezi kuhangaika kufanya maswala kwa fedha zangu huku nikiwekewa mashart
Blal faken….
View attachment 2876400
Wazazi wa huyu Binti watajiona wenye bahati sana ukimwoa akiwa sild.