Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Kwa kesi ya huyo jamaa etu hapo ashaachwa ni vile mwanamke kamwacha katika style ya asimuumize ili jamaa akiona redflag ajiongeze kusepa ila jamaa hajaelewa. Hapo huyo demu wake ashamuona jamaa sio type yake tena, kamuona ni mzigo na ni wakihasara hasara. Demu sahivi anaangalia juu na siyo chini tena alipo jamaa etu.Ni mwanamke........hahahahha! Mimi naona presha kuna wakati tunaztafuta wenyewe, kwann utake kujua mambo ambayo si ya msingi muhimu anakuheshimu hizo ratba na pesa zake si za muhimu. Asimame kama mwanaume na si kulalamika, huenda nina mtazamo tofauti lkn kwangu ni hivyo.
Hili ni tatizo. Hata Eva (a.k.a Hawa) hakuumbwa kabla ya Adam. Hapo umeingia cha kike, anakuona dogo....yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa
Tafuta wa 18 yrs uànze upya.Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa
Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile
Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.
Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake
Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo
Naombeni ushauri wakuu juu ya hili
Asanteni 🙏
Hayo mambo ya kujua ratiba zake na income yake unatengeneza vita kali sana. Achana na hayo mambo focus kwenye kutafuta pesa yako. Piga kazi kwa bidii kijana.Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa
Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile
Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.
Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake
Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo
Naombeni ushauri wakuu juu ya hili
Asanteni 🙏
Wewe umewakilisha wanawake wote jinsi mlivyo. Pesa yenu haipaswi kuwa yaa mwanaume na ya mwanaume ni lazima iwe yenu na mjue anapata kiasi gani.Ni mwanamke........hahahahha! Mimi naona presha kuna wakati tunaztafuta wenyewe, kwann utake kujua mambo ambayo si ya msingi muhimu anakuheshimu hizo ratba na pesa zake si za muhimu. Asimame kama mwanaume na si kulalamika, huenda nina mtazamo tofauti lkn kwangu ni hivyo.
20-21 ndio size yakeTafuta wa 18 yrs uànze upya.
Dada amebadilika kuliko zuwena😅Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa
Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile
Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.
Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake
Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo
Naombeni ushauri wakuu juu ya hili
Asanteni 🙏
Huyo sio wako tena, pambania maisha yako bro.Naombeni ushauri wakuu juu ya hili
Tushawazoea chenu chenu na wanaume ni cha kwenu.Kwa upande wangu si lazma saana kujua anachokipata au anachoingiza mtu mwingne kwa kigezo "tupo kweny mahusiano", kama ulivyosema mpo kwenye mahusiano na si wanandoa. Tafuta na ww kipato chako na uwe na ratba zako.........mimi binafsi linapokuja swala la pesa sipend saana kuingiliwa mimi nina mipango yangu na pesa zangu nina maono na ndoto zangu juu ya pesa zangu sasa mtu anapokuja na kutaka kujua ninachoingiza kwa kweli anakuwa ananikosea, yangu ni hayo kwa sasa.
Mwanamke hakuumbwa kumiliki uchumi. Umenielewa?Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa