Mpenzi wangu tangu amepata kazi amebadilika sana. Amekua hapendi nijue ratiba zake

Pole sana kaka Ninakushauri vitu viwili kama sio vitatu

Kwanza nikupongeze kwa kuamua kushare maumivu yako na sisi, kuliko kukaa nayo moyoni, lakini pia hapa duniani Kila kitu kina mwanzo na mwisho. Hakuna kitu kinadumu milele upo hapo?

๐Ÿ‘‰1.achana Huyu mwanamke, kuambiwa skutaki au muda wako imeisha sio mpaka, uambiwe kwa mdomo
๐Ÿ‘‰2.fanya kazi save hela zako, tafuta kabinti ka form four failure, au darasa la saba, hao matumizi yao sio makubwa

๐Ÿ‘‰3.toa akili yako huko maana naamini mapenzi yanaweza kukufanya ukapunguza ufanisi wa kazi

Ushauri wa kijinga Mwisho, muombe mechi Ila usipgie "k" jifanye umekosea tundu la nyuma piga hicho kinyeo๐Ÿคฃkidombe kwa hasira Alafu achana nae
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Unyama unyama
 
Nashukuru sana kiongozi๐Ÿ™
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Shukrani bro
 
Hio kazi yenyewe amepitiwa ndio maana hata mshahara mzuri,brother angalia maisha mengine hapo huna mtu kaa mguu nje kabisa akija mpokee asipokucheki mpotezee furahia maisha yako kabla hujaanza ugua ugonjwa wa akili,pambana biashara zako zikue
Nashukuru kaka
 
Huyo anza kujiaandaa kisaikolojia maana Kwa hiyo miaka 6 Kama hujamzalisha angalau watoto wa3 baada ya muda asubuhi mkiwa busy wewe unanyoa ndevu na yeye ananyoa sehemu za siri unamwambia una a very important meeting atakujibu me too.
 
Umeshauri vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ