Mpenzi wangu tangu amepata kazi amebadilika sana. Amekua hapendi nijue ratiba zake

Hapana bro
 
Mkaushie,usiwe unamtafuta labda aanze yeye,je utaweza???
Kingine usimpigie simu apige yeye...
Sasa uwe kama huna muda naye pia ajue ya kuwa unaweza ishi bila yeye...Usimuombe hela...Kiufupi jitenge naye na kama ukiweza tafuta mwingine akupoze machungu...

Mwanamke kadri unavyomshobokea ndio unampoteza,kuwa kauzu,asipokutafuta na wewe kausha,najua unamtafutaga sana so anakuona Boya...

Ishi humo yafanyie kazi hayo utakuja na mrejesho
 
Msaidieni mtoto wa 1999, Hawa madogo hawana tofauti na watoto wa 2000.
 
Tafta dem mwingne wa kuzuga naye halaf mkaushie mkausho,wala usimwonyeshe kama umehisi kitu strange au kuumia.Wakat huohuo jitahid kutembelea sana jf ktk mada za mapenz, fuatilia koments za seniors utajifunza mengi kuhusu wanawake.
 
Huyo si mpenzi wako..mlianza kufanya matusi mkiwa na umri wa miaka 19,sasa atakua kapata mpenzi wake. Kaa tulia,tafuta pesa ili nawe upate mpenzi wako.
 
kama uko serious naye nenda ukaoe ili kieleweke, lakini hiyo ya kujidai mume na mke siyo ya uhalisia. Kwa nini akupe ratiba zake au mshahara wake wakati hakuna committment?

Fikiria vizuri ili upange mipango inayoeleweka
 
Mkuu mwanamke tofauti na Mwanaume yeye Mwanamke akifikisha miaka zaidi 26 anataka mwanaume mwenye uwezo ili awed naye na hapo hakuna cha umri ndiyo maana wana date na watu wazima wenye vipato, tofauti na Binti kunzia miaka 17 mpaka 23 wao utaka mpenzi sharobalo avae vizur, lakini akishavuka hiyo steji utaka mwanaume anayeweza kumuhudumia kwa kila kitu na Mwanaume wenye uwezo huo wengi wao wanakua waume za watu na watu wazima, Vijana wengi chini ya miakq 33 bado wanajitafuta siyo rahisi kumlipia Kila kitu mpenzi wake. Binti atatakq simu ya laki 9 kijana hana uwezo huo, lakini mume wa mtu utawalisha dagaa familia yake ili mchepuko anunuliwe simu ya laki 9.
 
Huwa nawaambi wanangu kuwa demu wako wa high school au chuo sio wako hiyo ni wa wengine huwezi kuoa. Kwa nini hamsikii. Demu wako wewe inawezekana tupo second year sasa. Hiyo muache tu dogo. Ni ushauri kama ulivyoomba.
 
Kataa ndoa
 
Ni fedha zake na wewe sio mmewe,huna haki nae,we fata yako achana nae
 
Drazz huyo binti sio saizi yako mdogoangu. Utapasuka kichwa. Usiweke malengo nae, we jiweke tu ila akizingua usimind. We vitu vyako vipo tulia acha mawenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…