Mpenzi wangu tangu amepata kazi amebadilika sana. Amekua hapendi nijue ratiba zake

Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa

Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile

Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.

Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake

Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni 🙏
Hio kazi yenyewe amepitiwa ndio maana hata mshahara mzuri,brother angalia maisha mengine hapo huna mtu kaa mguu nje kabisa akija mpokee asipokucheki mpotezee furahia maisha yako kabla hujaanza ugua ugonjwa wa akili,pambana biashara zako zikue
 
Mkuu wewe ni mwanaume.. ?kama ni mwanaume jamaa etu ashaachwa hapo kikubwa tumuambie ukweli ili asije akajinyonga mapema
Ni mwanamke........hahahahha! Mimi naona presha kuna wakati tunaztafuta wenyewe, kwann utake kujua mambo ambayo si ya msingi muhimu anakuheshimu hizo ratba na pesa zake si za muhimu. Asimame kama mwanaume na si kulalamika, huenda nina mtazamo tofauti lkn kwangu ni hivyo.
 
unarahisisha sana mkuu unaijua miaka 6?
Mkuu mimi nilidumu na demu miaka sita, na nkikuwa namsaidia kinoma. Muda niliposhuka financially bado akaniacha na nilipambana sana kutompoteza kumbe navyozidi pambana mimi ndivyo najipoteza na wala haisaidii.
Nakwambia from experience.
Sasa yapata miaka 4, nimerudi niko poa zaidi ya mwanzo na toka mwaka jana ananitafta ooh tuonane, ooh nimekumiss, lakini sina muda tena.
Yani in short kubali now hakuna unachoweza fanya kwa sasa kutompoteza labda upate kazi bora aanze kuona future kwako.
 
Hongera kwa kuwa mmoja wenu ana ajira tayari, ni jambo zuri.
Hiyo ukimotivate na wewe kupambania harakati zako zaidi, tuma CV sana, pambania harakati zako.
Trust me, mwisho wa siku utakuja kugundua sio wanawake tu hata kaka au mdogo wako anaweza kukupotezea baada ya kutoboa na kukuona mzigo na ulikua msaada mkubwa kwake.

Jipambanie usitie huruma. Hivi ndivyo maisha yako duniani.
 
Ukiona unaanza kulalamikia hadi kupigiwa simu, kutumiwa msg, ujue yanafika ukingoni. Mapenzi yakiwepo vitu huwa vinafanyika automatically.
Ukiona mpaka uombe kupigiwa simu, unaanza lalamika hupewi taarifa, yani huenda sasa hivi hata sms zako ni kero kwake. Jiandae kisaikolojia kijana yani hakuna namna na wala usitumie nguvu kujaribu kufikiri utabadilisha chochote.
Utapoteza muda, rasilimali na utaumia sana kwa kujaribu kupingana na mabadiliko yanayokuja.
Hii imeniponya hata mimi👊
 
Achana naye ,unaumiza moyo wako Kwa mtu asiye na mapenzi nawewe,Kuna Binti nilisoma naye A'Level ,tukawa wapenzi toka kidato Cha Tano Hadi alipojiunga na chuo tukiwa tunawasiliana, yeye alitangulia kuajiriwa huku Mimi nikiwa namalizia masomo yangu. Toka apate Ajira mawasiliano yakawa hafifu kabisa ,ukimpigia hapokei simu na Wala hakutafuti kusema kuwa alikuwa mbali na simu, tena alipoajiriwa ilikuwa ni karibu na chuo nilichokuwa nasoma Kwa takribani km 60 tu.

Baada ya kuona hivyo nikajua huyu sio wa Hali yangu, yeye mwajiriwa Mimi mwamachuo,I was not of her status again,nilimpotezea kabisa na Wala yeye hakunitafuta,tuliachana Kwa amani bila shida.

Baada ya Mimi kuajiriwa alikuja kunitafuta baada ya miaka mitatu akilalamika changamoto ya ndoa yake huku akinitaka nimtafutie mwanamme wa kumuoa kwani aliye naye ndoa Haina amani.

Juzi kanitafuta tena akidai anajutia uamuzi wa kuachana kwani anaona Mimi nilikuwa Bora kuliko mume wake.

Hivyo mkuu tambua kuwa wewe huyo mchumba wako siyo wa status yake,achana naye,anatafuta bwana ambaye akiulizwa na mashosti wake awaambie kaajiriwa idara fulani nasiyo wewe mbangaizaji.
 
Wewe unachotakiwa usimtafute wala kumtafuta tafuta. Fanya kama humjui kabisa na hamjawahi kutana.
Mwezi mmoja miwili lazima akili imkae sawa.

Fanya kama hukuwa kwa ajili yake. Wala usimuulize "mbona siku hizi umebadilika".

Mkuu, unapatikana wapi nikupunguzie roho ya kwangu? 😂
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa

Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile

Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.

Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake

Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni 🙏
Mdogo wangu wewe tayari umeshaachwa kilichobaki hapo ni kusubiri tarehe rasmi ya kutamkiwa IT'S OVER. Wajanja wote wakiona hizo dalili huwa wanaachana na manzi fasta kuliko kusubiria aibu itakayokutafuna. Huyo manzi anastahili kuwa na mtu wa kuanzia miaka 30 ambaye pia yuko vizuri kiuchumi kuliko yeye. Wewe bado mdogo tafuta kibunda kwanza.
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa

Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile

Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.

Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake

Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni 🙏

Katoe sadaka ya shukrani umeyajua haya kabla ujamuoa!
 
Yale yale tunasemaga kila siku, mwanamke akipata financial freedom cha kwanza anawaza ni kumuonfoa mwanaume kwenye maisha yake🤣🤣🤣.
Ilishakula kwako hiyo bro
 
Vitu viwili muhimu kabisa mwanamke yeyote wa kibongo hataki mtu ajue ni income yake na matumizi yake baaasi! Ukiuliza ni ugomvi na ukikaa kimya maelewano na utapewa kila kitu, wazoefu tunajua ili nyumba iende ni kwamba mwanaume uwe na uwezo wa kubeba cost zote za kimsingi za nyumba na yeye achangie anapopenda! Otherwise hamna nyumba kibongobongo!
 
Dogo tulia
Mwanamke mwenye uhakika wa mshahara hawezi kuishi na mume.
Haiwezekani.
Ukiona mwanamke mwenye uhakika wa mshahara wa kukidhi mahitaji yake yote anaishi na mwanaume ujue hapo anafake tu
Ushauri: Mwache haraka kabla hajakutamkia yeye hadharani au kukutumia kadi ya mwaliko wa hharusi.
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa

Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile

Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.

Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake

Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni 🙏
Ila huduma anatoa kama zamani?
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa
Enheee
Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile
Endelea, nakufuatilia
Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.
Mwenzako kuajiriwa unaona ni sifa na bahati, lakini wewe kweza kusimama kwa miguu yako na kufanya biashara zako unajiona mwenye mkosi?
Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake
Yaani tafsiri yako wewe juu ya mambo yako kuwa yanaenda vibaya ni kitendo cha mwenzako kulipwa vizuri au?
Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo
Akiwambia labda next week anatakiwa ku attend Community-Based Disaster Risk Reduction (CBDRR) Meetings, or Medical Supply Chain Review Meetings, Health Impact Assessment (HIA) Meetings, Infectious Disease Control Workshops,
School Feeding Program Planning Meetings, Emergency Food Assistance Coordination Meetings, WASH (Water, Sanitation, and Hygiene) and Nutrition Integration Meetings, Rights-Based Advocacy and Awareness Meetings, Community-Led Total Sanitation (CLTS) Sessions, Value Chain Development Workshops, Financial Literacy and Budgeting Trainings.
Hivi unaweza ukamuelewa kwel? Utarudi tena hapa kulalamika kwamba anakutajia vitu unavyohisi labda ni majina ya michepuko yake.?

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni 🙏
Kabla ya ushauri nina swali, Je, ulitarajia apate kazi halafu asibadilike? Kama hiyo kazi isingembadilisha basi asingekuwa na faida yoyote, angekuwa ni msukule tu.
Kinachokutesa ni hisia zako na zitakuumiza kweli kama utaendelea kuziendekeza.

Ushauri: kubadilika ni lazima, hivyo ni wajibu wako kutafuta means and strength to acccommodate jer for good. Akikushida hapo then achana naye.
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa

Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile

Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.

Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake

Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni 🙏
Kijana wangu,endelea kupiga biashara
 
Back
Top Bottom