Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Huyu nimemuhurumia kidogo sijui kwanini au ushauri wangu hapo chini niufute, naona anajiandikia comment kumi kumi😂😂 huyu hanaga vurugu lakini, ila kuna wenzie nimeshawaona ingekuwa hao ningewaongezea maumivu
Hata mm nimeachwa dada angu naomba unishauri,... Ushauri wako utakua umemsaidia pia Natafuta ajira maana nae ana tatizo kama langu
 
1:Rule namba 1 mpenzi akisema hayo,usijibu chochote km kweli ww mwanaume kaa kimya hivyo hivyo.
Pili akikupigia usimjibu/kupokea km anakupenda atafanya juhudi akutafute mujekuyajenge but look like wkt mpo kwenye mahusiano alikwisha anza mengine bila ww kujua
 
Kila mwanamke anakuwaga na backup plan...jamaa ambaye anajua kabisa siku yoyote ile akisema ndio ndoa tayari . ..
 
Nimekosea nishajibu email, ila nimejibu maneno mafupi, “Sorry sijua, Kila lakheri”
 
Woi, mpe miezi 8 ataanza kuomba faraja kwako, jifanye kama umekubali matokeo..

Kuna Meja flani wa jeshi alinichezea rafu kama hiyo...haha, siku hizi nachekea uani kama sio chooni🤣🤣🤣
 
Kuna kitu unajivunia, hayo maneno si ya bure.

Nasema haya kwa sababu ninajua mapenzi yalivyo na hayana shujaa.

Kama unasema kwakujifurahisha tu na huna unachoringia, basi ipo siku utalizwa na mtu si wa hadhi yako.

Omba Mungu asikuue haraka ili ushuhudie ninayokwambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…