Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Miaka 5 mingi mno mlikua na bond ya kutosha, vp hakutaka kurudi baadae?
Mwaka wa nyuma yake 2021 alitoa mimba yangu kwamba hataki kuzalia nyimban, sasa huko alipo anatafuta mtoto kwa tochi, mawifi wanamuadhibu na inaonekana shida ipo kwake. Coz anaweza Kaa hata miezi 6 bila kuona period ikitoka inakaa hata week 2 mpaka 3 kahangaika lakini bado. Kwa minajili hio huwa ananitafuta akiwa anajuta kwa nn alichomoa. Lakini kitu kizuri kwake aliolewa na jamaa mwenye maisha bora kuliko mm.

Kwahio hua namuambia ainjoy maisha aliyoyataka, Mungu anasababu zake zakutua watu mizigo.
 
Shukuru Mungu mzee, muombe Mungu akupe mwenza sahihi uache kulialia maana mwaka 2020 ni miaka 4 tu wala sio ya kuhuzunika
 
NEnda badoo na telegram ndio mahala pake 😄
Mimi nadeal na kukodisha wapenzi wa mchongo wa kuwashtua watesi
Hao hao naweza kukodi baadae nikanunua jumla kabs wa mchongo hao 😊
 
Mimi kitu kinanipa strength ni nikifikilia maisha ya watu wanaonizunguka. Staff mmoja ninapofanya kazi alifiwa na mtoto na ame move on haraka, jamaa mwingine aliunguliwa na moto nyumba nzima kila kitu kiliteketea mule and he healed baada ya mwezi. Watu wanafiwa na wazazi na wana move on je mimi ?

Haya maisha ni kuwa ngangari tu
 
kaa kwa kutulia... mademu zetu washaolewa na wapo kwenye ndoa zao....mabwana zao wakiwakorofisha wanatutafuta kulipa kisasi....usipokuwa makini huwezi kuoa tena...
 
Huu Huu wimbo niliusikiliza Mara ishirini na moja baada ya kutemwa na mke wangu wa zamani ,ukanitoa machozi nilienda kulilia chooni ,hapo rafiki zangu wapo sebleni kunifariji .

Nililia Sana kwa kujibana mdomo nilipomaliza nikanawa nikatoka nikawaambia Sasa nipo sawa twende tukaenjoy ,ni huko bar nikikutana na Halima jioni ile aliyekuja kunipa dili lililoniweka jela mwaka mzima .

Itoshe kusema wanawake ni mashetani Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…