Mpina: 05/2021 Symbion ililipwa bilioni 350 bila kutozwa kodi

Tulisema, na tulilia kuhusu katiba.
Mkatuona sio wazalendo.

Leo Amekuwa bosi kwasbb ya katiba yetu mnabaki kulia lia . So what

Taifa hili tusipoacha Mambo ya Kufia vyama hakika tutaendelea kupoteana
 
Timing watu aliowaweka ndani zaidi ya miaka minne na akashindwa kudhibitisha wizi wao mahakamani! Aliogopa akichukua njia ya mahakama angekamata ambao wanajua uchafu wake. Hivyo akaamua kutumia njia za kihuni na vitisho.
Nina maana timing kwa wanasiasa wenzie wakubwa. Kwa bunge lilivyo ingekuwa ni rahisi labda kuondoa kinga ya kutoshitakiwa !! Nasema labda tu !!
 
Labda alikuwa anasubiri hicho kipindi cha pili cha uongozi wake ndio aanze kuwashughulikia badala yake mambo yakaenda ndivyo sivyo !! Nasema labda !
 
Nina maana timing kwa wanasiasa wenzie wakubwa. Kwa bunge lilivyo ingekuwa ni rahisi labda kuondoa kinga ya kutoshitakiwa !! Nasema labda tu !!

Sheria haifanyi kazi retrospectively useme akitunga sheria leo itakamata wenye makosa wa nyuma. Ni hivi hakuwa na ubavu wa kugusa wanasiasa wenzake maana hata yeye hakuwa msafi zaidi ya kusaka sifa za kijinga.
 
Lolote linawezekana !!
 
Bahasha la khaki, Capuchino, funguo za gari na iphone ipo mezani!! Kweli maisha ya mjini ni raha !! Hapo linasukwa dili sio la kitoto !!
Nmeingia mjini kikaz zaidi
Jumatatu lazima nisepe...
Ni mwendo wa kuwapanga watu
Mpk kiereweke [emoji1]
Sijawahi kufeli mission
Ngj tuendele kupiga capuchino
Hku tunayajenga

Ova
 
Mpina, 25% ya watanzania wapo kanda ya ziwa kulingana na sensa 2022,wakazi wa kanda ya ziwa wanakutuma ujaxe fomu 2025 kupitia ccm wako nawe kwa 100%
 
Magu ilikuwa mwezi wa 3 na watano wanalipana pesa bila kukata kodi...

Ishu ilikuwa Well planned kumuondoa ili wachote pesa.

Pesa zilichotwa miezi miwili baada ya kupita kifo cha hayati.
Ndio maana makamba aliwekwa pale sio kwa bahati mbaya
 
Mpina naye anataka alambishwe asali!! Baada ya Pole pole kulambishwa asali, hutamsikia sana akisema cha wahuni wala nini!!
 
Kama ni hivyo JPM anahusika JPM alikufa mwezi wa tatu katikati mchakato wa malipo aufantiki siku moja tafakari
Muwe mnasoma vizuri maelezo ,nyie ndo ile type unatoka kukisaidia vichakani uku majani uliyojichambia yamenata makalioni.
 
..Jpm ndiye aliyevunja mkataba na kusababisha serikali ishtakiwe na kuhukumiwa kulipa hayo mabilioni.

..Prof.Kabudi na AG Prof.Kilangi ndio waliomdanganya Magufuli na kupelekea kuvunjwa kwa mikataba kiholela.
Tulishitakiwa mahakama gani? Lini tulishindwa kesi na kuamuriwa kulipa hizo pesa? Mahakama gani iliamuru tulipe 350B? Tafadhali shea hata link ya habari hii na sisi tuone
 
Tulishitakiwa mahakama gani? Lini tulishindwa kesi na kuamuriwa kulipa hizo pesa? Mahakama gani iliamuru tulipe 350B? Tafadhali shea hata link ya habari hii na sisi tuone

..unataka utafuniwe kila kitu?
 
..Jpm ndiye aliyevunja mkataba na kusababisha serikali ishtakiwe na kuhukumiwa kulipa hayo mabilioni.

..Prof.Kabudi na AG Prof.Kilangi ndio waliomdanganya Magufuli na kupelekea kuvunjwa kwa mikataba kiholela.

Wewe ni mpumbavu sana

Samahani kabla ujaandika tafiti.

Hao walivunjiwa lini mkataba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…