GE2025 Mpina ahamia rasmi ACT Wazalendo, kumvaa Rais Samia Oktoba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
mkuu hoja yako imeshiba sana....mpina wazarendo tulimuamini huenda anatka kwel mageuz kumbe nae ni kopo tupu'n heli angegmbea ubunge kisesa na angeweza kushinda lakn kwa hilo la urais hpo wamelenga kuongeza ruzuku kujinufaisha wao.
 
Chadema haishiriki uchaguzi huu.
 
Acha hizo wewe Mpina huyo mchukueni upinzani kama mlivyomchukua Membe na Lowasa CCM

Tunawatakia kila la heri kwa kumpata Mpina
Katika mbinu 1000 za kushinda,hiyo nayo mnachezana nayo vyeredi
 
"Si fueris Romae, Romano vivito more."
"If you are in Rome, live according to the Roman custom."

Kavaa kama wenye chama na wenyeji wake akina ponda. Angevaa misalaba hata nafasi ya kugombea asingepata
 
🤔🤔🤔🤔
 
Tatizo siyo kuvuna, tatizo ni zitahesabiwa? Unadhani sheria ya kuruhusu polisi kuingia na silaha kwenye vyumba vya uchaguzi na kukataza mawakala kuingia na simu imewekwa kwa bahati mbaya? Mbona tunasahau mapema sana. Haya ya fulani kahama kwenda chama fulani wakati wa uchaguzi siku hizi hayana maana yoyote kwa sababu kura zinazopigwa hazina maana.
 
Kesi ishakua ngumu mgeni ameombwa akanunuliwe mswaki sijui ataondoka lini
 
Ndiyo maana nimesema labda wazifinye,maana ni kawaida yao kufanya hivyo hawa majizi ya kura yaliyokubuhu.
 
Chadema hawamo mwanabodi, walikataa kushiriki
 
Katika mbinu 1000 za kushinda,hiyo nayo mnachezana nayo vyeredi
CCM hatuna nongwa na mtu akihama chama chetu ni haki yake kidemokrasia na kikatiba ya nchi

Mpina haki yake mpokeeni tu upinzani na wapokeeni wengi watakaohama CCM kuja kwenu upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…