GE2025 Mpina ahamia rasmi ACT Wazalendo, kumvaa Rais Samia Oktoba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu ndiye atakayemtoa Samia kamasi. CHADEMA, CHAUMMA, ACT-Wazalendo msimamisheni huyo MPINA, mkimsisimasha huyo atamshinda huyo mama. Msigawanywe na CCM.
 
Hebu tafakari japo kidogo, chama kinahangaika kujijenga katika kujiimarisha.
Wakati wa uchaguzi kinakosa mgombea kiasi cha kusubiri makapi ya chama tawala!!
Nadhani hujanijibu
 
Huyu ndiye atakayemtoa Samia kamasi. CHADEMA, CHAUMMA, ACT-Wazalendo msimamisheni huyo MPINA, mkimsisimasha huyo atamshinda huyo mama. Msigawanywe na CCM.
Kwa nchi gani,mnafanaya siasa kama ushabiki.
Hakuna wa kumtoa Samia Kwa Tume,Sheria na polisi hawa, CHADEMA hatutauingia huo mkenge tenaa.
 

Hapa Mpina na ACT wamechemka. Mpina kasahau kampeni ya Membe chini ya ACT.

Pia Mpina hana mvuto wa Kirais na hawezi kuhamasisha umma. Uke uongeaji wake wa kufoma Madesa umekaa zaidi kiwhistle blower.
 
Bora angewania ubunge angalau kuna matumaini ya kupata. Lakini, urais, labda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…