Mpina ataka viongozi wa wizara, mashirika, mikoa na wilaya kupatikana kwa usahili!

Mfumo Mbovu unatuletea Viongozi aina ya Makonda na kina Sabaya.... Watu ambao walipaswa kuwa Jela wanakuwa Viongozi.
 


Kama tuko serious na utendaji utakaoleta tija nchi hii ni kufanyia kazi haraka joja hiyo.
Tena tumechelewa mno.
Wenzetu jirani Kenya wako mbali sana.
Hakuna mambo ya teuzi teuzi za kujuana. Ziko biased na ndio maana kila Mwaka taarifa ya CAG ni maduduu kwenye matumizi ya ujma.

Mwaribauni huu itasaidia kudhibiti na kupunguza kwa kiasi kikubwa sana.
Vetting zije kufanyika vizuri
 
Hii ni point nzuri sana. Wakuu wa, mkoa, wilaya, wakurugenz wengi ni watu wa video tu.
 
Binafsi namkubali sana Mpina, Kuna wanaosema eti anaongea sana kwa sababu alikosa uwaziri kwenye serikali ya mama kizmkazi. Lakini huyu jamaa yuko vizuri sana huwa akiisimamia hoja huwa atoki kwenye mstari.
 
Hivyo vyeo vimewekwa kisiasa zaidi kuliko uwajibikaji wa kitaalamu na kuleta maendeleo kwa jamii.Wote hao kwa sasa ni makada wa CCM.Mpina anatafuta kusutwa kinafiki hadharani na chama chake.Subiri.
 
Kabisa wakifanya hivyo sikosi kuwa hata waziri!
 


Iwapo tutataka Kuwa seriously hivyo ndipo ipasavyo.
Matharani jirani Kenya hapo hata nafasi za Walii wa taasisi zinatangazwa kwa umma kwa uwazi na kufanyika usaili wa wazi.

IGP , Judge Mkuu n.k zote ni hivyo hivyo .

Huenda ni kweli imebaki bongo tu ambako Viongozi wanapatikana kwa uteuzi wakujuana πŸ€¦β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈπŸ™†β€β™‚οΈ

Ikibidi Mwenyezi Mungu aingilie kati hali hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…