Tetesi: Mpina: Hata wakitaka na Ubunge nitawaachia lakini sitonyamaza

Haya sasa chukueni hilo eneo

Ashawambia

Ova
 
Hilo eneo lina mgogoro tangu enzi za Magufuli, sema Magufuli alikuwa mnafiki akakuacha upore kama aivyowaacha akina Makonda, Sabaya na Mnyeti

 
Huyu amenyimwa fursa ya kukaa meza moja na walamba asali sasa amekasirika na kuamua kujitolea kuwa mwana harakati na mpigania haki za wananchi, hii tunafaham fika kuwa ni kazi ya Mh Tundu Antipas Lissu.
 
TBC ndiyo inafanya kazi hii? Tangu lini TBC ikafanya kazi inayoanika udhaifu wa viongozi hasa wa ccm? Hili lina harufu ya zengwe. Changamoto moja iliyopo zama hizi ni ya watu kujipa kazi ya kuuhami, kuupigania na kuutea utawala ulioko madarakani ikiwa ni pamoja na kufanya mambo ambayo hayafanani kabisa na viongozi wa utawala huo. Hili la Mpina linaweza kuwa na sura hiyo. Pamoja na hayo, muhimu zaidi kuna msemo wa kiswahili: adhaniye amesimama atazame asianguke! Mpina ajisaili mwenyewe kuhakikisha kwamba umiliki wake wa ardhi ekari 1000 umetolewa na mamlaka yenye dhamana ambayo kwa hakika siyo kijiji.
 
Naona uzi umevamiwa na walamba asali hatari. Mpina acha awakamate vibaya msiifanye hii nchi kuwa ya kikundi fulani cha watu
 
Ili kumnyamazisha
Mpina inabidi apewe uwaziri ili hizo kelele zake akapige vzri
 
Huu ni upuuzi Kama kweli kasema haya basi Mpina ni mjinga.

State ikitaka kukushughulikia haitahitaji yote hayo. Ni chap Kwa haraka unabaki masikin
Ni bora kufa na siyo kumsujudia binadamu mwenzako ili kupewa kile ambacho tena ni halali yako!

Wewe ni wewe, usilinganishe mtu mwingine na ujinga wako!

Wewe wasujudie hao watu! Kwetu sisi, wa kusujudiwa ni Mungu pekee

Mpaka sasa, Dunia ilishameza watu kibao, hivyo, hatuogopi kufa kwa sababu hata wao watafuata
 
Katavi, Mara, Singida, Tabora, geita, Kagera, mwanza, shinyanga, simiyu, kigoma, dar , arusha, kilimanjaro, manyara , mbeya, iringa, morogoro, dodoma, na kigoma hizo kura zinakutosha 2025 chukua fomu baba Mpina.
 
mpina punguza kinyongo......sidhani kama una uchungu na maumivu kufikia aliyonayo muhitimu wa kozi ya ualimu mwenye shahada aliemaliza chuo toka mwaka 2015 na mpaka leo hajapata ajira na umri unakwenda bila ramani yoyote
Si mlisema Mama kaleta Uhuru wa kuzungumza?mbona Mpina akizungumza kutumia uhuru wake mnahaha!
Mjibuni uongo wake kwa fact na siyo vijembe,na bado January bajeti yake asubiri kupewa vipande vyake na Professor Mpina![emoji1787]
 
Unajua watu waache lawama mtandaoni watuambie ni kesi namba ngapi na mahakama gani ya ardhi wananchi wamefungua na hawasikilizwi kama hamna hizo ni mbinu chafu za ccm dhidi ya ccm msema kweli
 
mpina punguza kinyongo......sidhani kama una uchungu na maumivu kufikia aliyonayo muhitimu wa kozi ya ualimu mwenye shahada aliemaliza chuo toka mwaka 2015 na mpaka leo hajapata ajira na umri unakwenda bila ramani yoyote
Hoja iliyopo mezani,ina uhusiano gn na ulichoandika? Mavi kichwani.ulimbuli,na nchiluchilu
 
Nakumbuka nilikuwa na boti zangu pale mtera maeneo ya champumba na sisemi uongo waliokuwa wanapiga hela kwenye opaeration za uvuvi haramu ni viongozi wa operation na sio mpina kam umewahi kuwa mtera kuna mtu alikuwa anaitwa babu ndo alihusika na shughuri zote
Waulize wavuvi wa mtera babu watakwambia huyo hafai
Pia nilifatilia faini ilikuwa halali sema wanamchafua
 
hayo anayoyasema kimsingi yanaweza kuwa ya kweli sawa......lakini mbona kipindi cha msukuma mwenzie alikuwa kimya?
Ungesema na wewe,kipindi cha msukuma mpina akiwa waziri samaki walijaa Victoria,uvuvi haramu haukuwepo,wala kuvua kwa baruti na sumu havikuwrpo.
 
Huu ni upuuzi Kama kweli kasema haya basi Mpina ni mjinga.

State ikitaka kukushughulikia haitahitaji yote hayo. Ni chap Kwa haraka unabaki masikin
Acha uboya hakuna msukuma muoga wa maisha
 
Tundu lissu alistahili kupata alichokipata,tena ningekuwa mtawala ni mimi,ningetoa amri hadharani.huo ndio ujira wa msaliti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…