Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashugulikiwe kwanini?kisa kutoa maonihuyu mpina kama vipi ashughulikiwe kimyakimya .....polepole ananyamazishwa kimyakimya na kufikia 2025 hatosikika tena.
Hilo eneo lina mgogoro tangu enzi za Magufuli, sema Magufuli alikuwa mnafiki akakuacha upore kama aivyowaacha akina Makonda, Sabaya na Mnyeti"....tatizo jamaa wanadhani mimi nitababaishwa na mbinu yao chafu ya kutumia chombo cha habari kunitweza hahahaha!"
"....brother, kwa akili yako eneo lile lingekuwa na tabu mwamba ( JPM) angeniacha salama?!"
"....yule kijana ( Mwandishi wa TBC )aliitwa Dar es Salaam usiku na alifuatwa na V8 akapangwa cha kwenda kureport including wale Viongozi wa kijiji walitumiwa fungi la kutosha ili pamoja na wao wawatafute wakina mama wenye shombo pale kijiji kile wakatengeneza sinema nzuri ya kuropoka!"
"...acha wapige kelele na hata wakitaka hilo eneo acha wachukue muhimu watambue sitonyamaza abadani!"
Mpina.
TBC ndiyo inafanya kazi hii? Tangu lini TBC ikafanya kazi inayoanika udhaifu wa viongozi hasa wa ccm? Hili lina harufu ya zengwe. Changamoto moja iliyopo zama hizi ni ya watu kujipa kazi ya kuuhami, kuupigania na kuutea utawala ulioko madarakani ikiwa ni pamoja na kufanya mambo ambayo hayafanani kabisa na viongozi wa utawala huo. Hili la Mpina linaweza kuwa na sura hiyo. Pamoja na hayo, muhimu zaidi kuna msemo wa kiswahili: adhaniye amesimama atazame asianguke! Mpina ajisaili mwenyewe kuhakikisha kwamba umiliki wake wa ardhi ekari 1000 umetolewa na mamlaka yenye dhamana ambayo kwa hakika siyo kijiji."....tatizo jamaa wanadhani mimi nitababaishwa na mbinu yao chafu ya kutumia chombo cha habari kunitweza hahahaha!"
"....brother, kwa akili yako eneo lile lingekuwa na tabu mwamba ( JPM) angeniacha salama?!"
"....yule kijana ( Mwandishi wa TBC )aliitwa Dar es Salaam usiku na alifuatwa na V8 akapangwa cha kwenda kureport including wale Viongozi wa kijiji walitumiwa fungi la kutosha ili pamoja na wao wawatafute wakina mama wenye shombo pale kijiji kile wakatengeneza sinema nzuri ya kuropoka!"
"...acha wapige kelele na hata wakitaka hilo eneo acha wachukue muhimu watambue sitonyamaza abadani!"
Mpina.
Mpina inabidi apewe uwaziri ili hizo kelele zake akapige vzri"....tatizo jamaa wanadhani mimi nitababaishwa na mbinu yao chafu ya kutumia chombo cha habari kunitweza hahahaha!"
"....brother, kwa akili yako eneo lile lingekuwa na tabu mwamba ( JPM) angeniacha salama?!"
"....yule kijana ( Mwandishi wa TBC )aliitwa Dar es Salaam usiku na alifuatwa na V8 akapangwa cha kwenda kureport including wale Viongozi wa kijiji walitumiwa fungi la kutosha ili pamoja na wao wawatafute wakina mama wenye shombo pale kijiji kile wakatengeneza sinema nzuri ya kuropoka!"
"...acha wapige kelele na hata wakitaka hilo eneo acha wachukue muhimu watambue sitonyamaza abadani!"
Mpina.
Ndo maana tunataka katiba mpyaHuu ni upuuzi Kama kweli kasema haya basi Mpina ni mjinga.
State ikitaka kukushughulikia haitahitaji yote hayo. Ni chap Kwa haraka unabaki masikin
Ni bora kufa na siyo kumsujudia binadamu mwenzako ili kupewa kile ambacho tena ni halali yako!Huu ni upuuzi Kama kweli kasema haya basi Mpina ni mjinga.
State ikitaka kukushughulikia haitahitaji yote hayo. Ni chap Kwa haraka unabaki masikin
Katavi, Mara, Singida, Tabora, geita, Kagera, mwanza, shinyanga, simiyu, kigoma, dar , arusha, kilimanjaro, manyara , mbeya, iringa, morogoro, dodoma, na kigoma hizo kura zinakutosha 2025 chukua fomu baba Mpina."....tatizo jamaa wanadhani mimi nitababaishwa na mbinu yao chafu ya kutumia chombo cha habari kunitweza hahahaha!"
"....brother, kwa akili yako eneo lile lingekuwa na tabu mwamba ( JPM) angeniacha salama?!"
"....yule kijana ( Mwandishi wa TBC )aliitwa Dar es Salaam usiku na alifuatwa na V8 akapangwa cha kwenda kureport including wale Viongozi wa kijiji walitumiwa fungi la kutosha ili pamoja na wao wawatafute wakina mama wenye shombo pale kijiji kile wakatengeneza sinema nzuri ya kuropoka!"
"...acha wapige kelele na hata wakitaka hilo eneo acha wachukue muhimu watambue sitonyamaza abadani!"
Mpina.
Si mlisema Mama kaleta Uhuru wa kuzungumza?mbona Mpina akizungumza kutumia uhuru wake mnahaha!mpina punguza kinyongo......sidhani kama una uchungu na maumivu kufikia aliyonayo muhitimu wa kozi ya ualimu mwenye shahada aliemaliza chuo toka mwaka 2015 na mpaka leo hajapata ajira na umri unakwenda bila ramani yoyote
Hoja iliyopo mezani,ina uhusiano gn na ulichoandika? Mavi kichwani.ulimbuli,na nchiluchilumpina punguza kinyongo......sidhani kama una uchungu na maumivu kufikia aliyonayo muhitimu wa kozi ya ualimu mwenye shahada aliemaliza chuo toka mwaka 2015 na mpaka leo hajapata ajira na umri unakwenda bila ramani yoyote
Ungesema na wewe,kipindi cha msukuma mpina akiwa waziri samaki walijaa Victoria,uvuvi haramu haukuwepo,wala kuvua kwa baruti na sumu havikuwrpo.hayo anayoyasema kimsingi yanaweza kuwa ya kweli sawa......lakini mbona kipindi cha msukuma mwenzie alikuwa kimya?
Acha uboya hakuna msukuma muoga wa maishaHuu ni upuuzi Kama kweli kasema haya basi Mpina ni mjinga.
State ikitaka kukushughulikia haitahitaji yote hayo. Ni chap Kwa haraka unabaki masikin
Tundu lissu alistahili kupata alichokipata,tena ningekuwa mtawala ni mimi,ningetoa amri hadharani.huo ndio ujira wa msaliti.Wala hatutaki unyamaze, endelea kuropoka tu kwani ni haki yako kikatiba na ndiyo Tanzania yetu tuliyoizoea.
Siyo ile ya 2015-21 iliyokuwa chini ya Kichaa mwenzio Dikteta Magufuli ambapo watu wote waliomkosoa alikuwa anawawinda awake kama alivyomuua Ben Saanane na Azory Gwanda au kama alivyomshambulia Tundu Lissu kwa risasi..
Labda CUF ya Lipumba itamfaa zaidiSafari kuelekea Chadema imeanza