Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria

Bahati mbaya mahakama zetu zimejaa na hawa wa Samia na mahakimu na majaji walambishwa asali
 
Pigani haki yako wengi wanajua kamati za bunge zinaendeshwa na spika!
 
mpotoshaji na mdanyanyaji anaamua kujaribu kwenda kuidanganya mahakama? anyway hii itasaidia kumaliza jeuri, hasira na kiburi yake mwenyewe kabisaa ๐Ÿ’
Kama ambavyo ID yako inajitanabaisha.

Weewe ni Kilaza, Uwezo wako wa Ubongo kuchakata mambo ni kiduchu sana.


Na รญnawezekana kabisa kabisa, wee ni mjinga na mzembe na mviviv, watu wa aina yako Huwa mnakawaida ya kuonea wivu wale ambao tunaonekana tuko SMART.




Jikite kwenye Hoja za Mpina, kama anataka Vifungu vya Sheria na kanuni , nawee ingia kwenye Vitabu, soma, Kisha njooo umpinge.


Sasa Mpina anaongea Kwa Hoja na Kwa vitabu, weee ni blaaa blaa blaaa.


Ilo Bichwa hujapewa kuvukia barabara.
 
Ona ulivyo jinga usokua chochote kukuhusu Katiba, Sheria na Kanuni.



Yaan Kampuni alizopendelea MPINA?? .


Hello GREAT THINKERS wa JF, mmeliona hili lijinga ??.


Halijui hata kuhusu SHERIA YA MANUNUZI YA SUKARI inahitaji Nani na nani wapewe kipaumbele katika uagizaji wa Sukari pale inapohitajika๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.



Lijinga wewe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hii ndio sahihi iliyobaki ikiwa kama bunge linashindwa kutimiza wajibu wake. Speaker anakua chawa wa utawala badala ya kusimama kama mwenyekiti wa mamlaka inawakilisha wananchi. Ngoja tuone tafsiri ya mahakama. Ni matumaini mahakama nayo haitaepa jukumu lake.
 
Serikali imechemsha kwa kutaka kuzima moto kwa petroli sasa hata ambao hawakujua nini kiliendelea sasa hivi watajua....

Yaani tunaibiwa alafu kodi zetu zinatumika kutetea huo wizi..., nadhani viongozi wa Awamu za hivi karibuni wamejisahau sana na wanajiona Miungu watu
 
mpotoshaji na muongo alifanya lobbying washakaji zake wapewe hiyo kazi akapigwa chini hasira zikampanda

kwamba nawe ni miongoni mwa great thinkers, dah, kweli dunia ni duara sio mviringo
 


You are so stupid on top of that una kiherehere, mtu wa kuchonganisha watu wewe na mmbea sana, jambo hulisemi kama lilivyo, unazidisha kuliko uhalisia, i wrote kosa la Mpina, ni kuongea na waandishi wa habari na kuwapa taarifa ya ripoti kwa umma, wakati asingetakiwa kwani ripoti alishampa Spika, wewe unaandika tofauti eti kapotosha bunge na serikali, wakati hilo sio kosa lake..!! It seems wewe mpuuzi na umelelewa kipuuzi puuzi, so stupid
 
Japo yeye mwenyewe ni wale wale lakini Mpina ni Mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ