sasa gentleman,
mim naropoka vipi hali ya kua unakiri mwenyewe kwamba huyo muungwana kakosea?
alikosea kwa makusudi gani basi, kama sio alilenga na kukusudia kupotosha umma na bunge kwa uongo na uzushi wa wazi kabisa, kwamba katika hali ya dharura serikali ilifanya makosa kuchukua hatua za dharura kunusuru nchi isiingie natatizoni kutokana na hali ya upungufu wa sukari kipindi cha mfungo...
unafahamu sheria inasemaje katika hali ya dharura?
mindset yako imeathirika na kufuata mkumbo tu lakini angalau uanafahamu makosa yapo wapi kwa kiasi, halafu unatetea kabisa ati jombaa anaenda mahakamani halafu eti atoboe, ni kichekesho