GE2025 Mpina kwenda ACT Wazalendo ni Plan ya Samia, hii unahitaji kuwa na extra akili kujua hii move. Mpina ni project ya Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hizo ni hisia zako, zichezeshe vizuri
 
Kwa sasa wengi hawawezi kukuelewa humu. Ukifika na ikiwa wazi ndio watakusifu
 
Mange kimambi kaingia jf
 
Hata wakati Chakubanga anaanza kumuweka wazi Mamaenu mlisema ni kazi ya Mamaenu
 
Sahihi kabisa wala haina chenga.....Another Lowasa
 
Kwamba na Kufunga na kuvunja makanisa na kupiga virungu waumini ni Projekiti?
 
Huna akili !
 
Hata Mimi na IQ yangu ndogo nimeliona hili mapema
 
Usema kweli , mpina alikuwa hana uwezo wa kupingana na Samia bila kupangwa na Samia mwenyewe. Mpina aliwahi kuja Sauti ya watanzania na vihoja vyake vya kujifanya mpizani ndani ya ccm, akaulizwa maswali magumu akakimbia mpaka leo hajawahi rudi tena.
 
Kweli haya mamuvu ni ujanja tu mba lolote,tulikuwa na akina lipumba,dk salaam,mrema,mbowe,zito hizo zote zilipendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…