GE2025 Mpina kwenda ACT Wazalendo ni Plan ya Samia, hii unahitaji kuwa na extra akili kujua hii move. Mpina ni project ya Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Oktoba 2025 Hakuna UCHAFUZI, tutafanya juu chini kuuzuia usifanyike
 
Mpina kweli kama project ila Polepole na gwajiboi sio, hao ni waporipori tu walioamua kukichafua baada ya kuona future yao kisiasa sio nzuri sana na yenye uhakika.
Time itaongea
 
Its Obvious, Mpina ame compromise kwa samia na kuamua kumsaidia kutengeneza Democrasia fake ili kubariki Uchaguzi feki wa October.
Iko hivyo kwa 100% shida Wabongi wanashindwa kulitambua hilo, huu ni mchezo unachezwa
 
Hakina projekiti ya namna hiyo ogopa matapeli
 
Hao wote ni project na Watarudi CCM watasafishwa na Samia na watapewa hata nafasi za Kugombea. Muda huwa ni mwalimu mzuri sana.
 
una ujinga kias. Kwan hawa ambao wako really wameanza kudai hzo reforms lini? wameingia kwenye uchaguzi mara ngap bila hzo reforms?
Mkuu wengine humu tulikuwa tunasema kushiriki kupiga kura kwa aina ya uchaguzi wetu huu Tz ni kupoteza muda tu, hiyo toka zamani ila jamaa hawa hawa walikuwa wanatetea na kung'ang'ania kuendelea kushiriki uchaguzi ila sasa ndio wanajifanya wamecharuka na hiyo no reform no election utafikiri wamekuja juzi bongo.
 
Hao unaosema sio project siku wakihamia vyama vingine bado mtakuja kulialia kuwa ni project 😂

Chadema akili hawana, mtu akiwaunga mkono wanamuona huyo ni mwenzao, sasa akihamia chama kingine badala ya chadema ndo wanashtuka 😂
Wewe naye kila hoja lazima uwahusishe chadema, utafikiri wanakuuzia pumzi.
 
Polepole, mpina, na Gwajima, hutawasikia wakiongelea reforms za uchaguzi, wao wanaangalia maslahi yao tu.

Chadema wameamua hawashiriki uchaguzi kwasababu ya kudai mabadliko ya sheria za uchaguzi, lakini kutwa wako kuongelea chaguzi za CCM, na kusapoti watu kama Gwajima na Polepole ambao hawazungumzi hoja zozote za Chadema, ajenda yao si mda itakuwa mfu wakati ndio ilitakiwa iwe ya moto sana wakati huu.
 
Tutajua nani mjinga baada ya matokeo.
 
Reform kazungumzia za ndani ya chama chake,we wataka reform zipi sasa.
 
Kataa wahuni wameanza kusukuma kete.
Huyu mama kwa jinsi alivyokataliwa na watanzania hata bila hizo reform anapigwa chini vizuri tu.
Wao waliwekeza zaidi kupambana na CHADEMA na wakawa na uhakika wa kupeta maana CDM walidai hawatashiriki uchaguzi na mpiga kelele Lissu wamempa kesi ya mchongo. Hapo ccm walikuwa wanaserereka tu.
Mwaka huu hawatoboi!
Kataa wahuni wamejipanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…