GE2025 Mpina: Lissu yupo Gerezani kwa sababu anapigania haki

GE2025 Mpina: Lissu yupo Gerezani kwa sababu anapigania haki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kada wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina amedai kuwa miongoni mwa sababu zilizopelekea 'misukosuko ya kisheria' kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ni kwakuwa anapigania haki, demokrasia na ulinzi wa raslimali za Taifa

Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam alipofika leo, Jumatatu Septemba 15.2025 kwaajili ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Lissu, Mpina amemtia moyo na kusema anaamini mapito wanayopitia 'wadai haki' kwenye nchi yatafika mwisho.
 
Alifanya uamuzi wa hovyo kuingia ACT badala ya kujiunga na NoReNoE
NoReNoE
hoja dhaifu Kwa kitendo Cha Polisi 20 kuwatawanya wanachama wa Chadema 150+ pale mahakamani
Wewe na wengine wengi muko mtandaoni mukijifanya wanaharakati

Madiliko yanapaswa tuanze wanachama kujitoa kusimamia Sheria na Katiba Sio ikivunjwa ndio tuje na NoReNoE ni Uboya

#Leo nimeumizwa sana na matukio ya Polisi kuwapiga wale wanachadema pale mahakamani
 
Aliyeumizwa yuko hospitali muda huu. Wewe keyboard worrier unayewafokea ma-keyboard worriers wenzako.
 
Aliyeumizwa yuko hospitali muda huu. Wewe keyboard worrier unayewafokea ma-keyboard worriers wenzako.
Wewe na wenzako Muende huko mukapambane Sio kuja hapa na
No Reform No Election
 
Sawa chawa wa mama, wewe endelea kuvaa t-shirt na kupakiwa kwenye malori huku Abdul akiendelea kujenga majumba ya kifahari na kumiliki chopa binafsi.
Nakushauri kuwa muulize muhasisi wa NoReNoE ameipata wapi na ilikuwa na dhamila
Nilimshauri Mbowe NoReNoE sio makaratasi pekee pia NoReNoE Wajibu Kwa watu wetu wafanye mabadiliko tuwe tayari kuifuata Sheria na Katiba pasipo kuyumba.
Sasa ninyi wanaharakati wa mtandaoni mumeifanya kama mchezo tu munaharibu maana ya wazo langu.
 
muhasisi× = muasisi✓
dhamila× = dhamira ✓

Makosa haya siyo ya kiuandishi, ni kwamba kichwani hakuna kitu. Kwa utupu huu wa kichwani, nani atapokea ushauri wako?
Message sent
 
Boss wa Mpina Mzee Zitto Kabwe yeye haya ya mahakamani hayamuhusu kabisa.?

Mpina chunga, watakufukuza chama maana hujapewa go ahead na chama chako kuja mahakamani...

Mkongomani Zitto Kabwe yuko bize kumnadi Samia huko Kigoma
20250915_032805.jpg
 
Kada wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina amedai kuwa miongoni mwa sababu zilizopelekea 'misukosuko ya kisheria' kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ni kwakuwa anapigania haki, demokrasia na ulinzi wa raslimali za Taifa

Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam alipofika leo, Jumatatu Septemba 15.2025 kwaajili ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Lissu, Mpina amemtia moyo na kusema anaamini mapito wanayopitia 'wadai haki' kwenye nchi yatafika mwisho.
Ndiyo, yote haya kuna siku yatafika mwisho..., but there has to be a way to end this bullshit sooner than later.
 
Linapokuja suala la kuingia kwenye bahati nasibu ya kuchaguliwa kuwa kiongozi watu wengi brains zao huwa zina-freeze. Brain ya Mpina imeanza kurejea kwenye hali ya kawaida baada ya milango yote ya kuingia kwenye bahati nasibu kufungwa!
.Actuallu', mi nilichukulia kuwa palikuwepo na 'strategy' nzuri hapo; kwa kujitokeza kwake.

Na ndiyo maana wahusika wamestuka na kuona mtego mbaya uliokuwa ukimnyemelea mtu wao mbovu kabisa kama Samia.
Brain ya Mpina ilikuwa sawasawa toka mwanzo.
 
Back
Top Bottom