GE2025 Mpina: Lissu yupo Gerezani kwa sababu anapigania haki

GE2025 Mpina: Lissu yupo Gerezani kwa sababu anapigania haki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Boss wa Mpina Mzee Zitto Kabwe yeye haya ya mahakamani hayamuhusu kabisa.?

Mpina chunga, watakufukuza chama maana hujapewa go ahead na chama chako kuja mahakamani...
Sidhani kuwa Luhaga Mpina bado anacho cha kudai huko ACT; baada ya mtego wake kufumuliwa. Ndiyo maana sasa yupo huru kusema haya anayo yasema sasa.
 
Kada wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina amedai kuwa miongoni mwa sababu zilizopelekea 'misukosuko ya kisheria' kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ni kwakuwa anapigania haki, demokrasia na ulinzi wa raslimali za Taifa

Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam alipofika leo, Jumatatu Septemba 15.2025 kwaajili ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Lissu, Mpina amemtia moyo na kusema anaamini mapito wanayopitia 'wadai haki' kwenye nchi yatafika mwisho.
Zimeanza kumrudi sasa
 
.Actuallu', mi nilichukulia kuwa palikuwepo na 'strategy' nzuri hapo; kwa kujitokeza kwake.

Na ndiyo maana wahusika wamestuka na kuona mtego mbaya uliokuwa ukimnyemelea mtu wao mbovu kabisa kama Samia.
Brain ya Mpina ilikuwa sawasawa toka mwanzo.
Hapana, haikuwa sawa. Wale ambao brains zao zilikuwa sawa walikuwa wanajua from the beginning kwamba kujaribu kuingia kwenye hiyo bahati nasibu ni kupoteza muda, kwasababu the outcome is rigged in favor of the house! Watu tumehubiri sana dhidi ya kuingia kwenye hiyo bahati nasibu, lakini Mpina na wenzake hawakuelewa kwasababu brains zao hazikuwa sawa!
 
Hahaha Mpina anatujulisha kwamba hatufahamu au yeye ndiye alichelewa kufahamu Lisu yuko gerezani kwa kupigania haki?
 
Hapana, haikuwa sawa. Wale ambao brains zao zilikuwa sawa walikuwa wanajua from the beginning kwamba kujaribu kuingia kwenye hiyo bahati nasibu ni kupoteza muda, kwasababu the outcome is rigged in favor of the house! Watu tumehubiri sana dhidi ya kuingia kwenye hiyo bahati nasibu, lakini Mpina na wenzake hawakuelewa kwasababu brains zao hazikuwa sawa!
Sasa tueleze wewe "Wale ambao brains zao zilikuwa sawa..." imekuwaje sasa Luhaga Mpina aonekane kuwa tishio kiasi cha kuwekewa mizengwe aliyo wekewa!
Pamoja na kuwa "... the outcome is rigged in favor of the house;..", and all of a sudden, the house realizes the lacking danger hanging over their candidate.

Inawezekana kuwa "Wale mliodhani akili zenu zilikuwa sawa", kumbe haikuwa hivyo. Waliojuwa mchezo ulivyo kuwa umepangwa wamewaonyesha hivyo kwa kumtoa Luhaga kwenye mchezo.
 
That’s how the rig was designed—to debar or throw out of the arena any and all real challengers. Is there any real threat left?
 
Jichanganyeni na Mpina mkizani ni mpinzani
Amepitia ACT anakuja Chadema kupajambia
Msifungulie mlango mwacheni huku huko ACT kwa usalama na afya ya Chadema
 
Back
Top Bottom