Linapokuja suala la kuingia kwenye bahati nasibu ya kuchaguliwa kuwa kiongozi watu wengi brains zao huwa zina-freeze. Brain ya Mpina imeanza kurejea kwenye hali ya kawaida baada ya milango yote ya kuingia kwenye bahati nasibu kufungwa!Alifanya uamuzi wa hovyo kuingia ACT badala ya kujiunga na NoReNoE
Alifanya uamuzi wa hovyo kuingia ACT badala ya kujiunga na NoReNoE
NoReNoEAlifanya uamuzi wa hovyo kuingia ACT badala ya kujiunga na NoReNoE
Aliyeumizwa yuko hospitali muda huu. Wewe keyboard worrier unayewafokea ma-keyboard worriers wenzako.NoReNoE
hoja dhaifu Kwa kitendo Cha Polisi 20 kuwatawanya wanachama wa Chadema 150+ pale mahakamani
Wewe na wengine wengi muko mtandaoni mukijifanya wanaharakati
Madiliko yanapaswa tuanze wanachama kujitoa kusimamia Sheria na Katiba Sio ikivunjwa ndio tuje na NoReNoE ni Uboya
#Leo nimeumizwa sana na matukio ya Polisi kuwapiga wale wanachadema pale mahakamani
Wewe na wenzako Muende huko mukapambane Sio kuja hapa naAliyeumizwa yuko hospitali muda huu. Wewe keyboard worrier unayewafokea ma-keyboard worriers wenzako.
Sawa chawa wa mama, wewe endelea kuvaa t-shirt na kupakiwa kwenye malori huku Abdul akiendelea kujenga majumba ya kifahari na kumiliki chopa binafsi.Wewe na wenzako Muende huko mukapambane Sio kuja hapa na
No Reform No Election
Nakushauri kuwa muulize muhasisi wa NoReNoE ameipata wapi na ilikuwa na dhamilaSawa chawa wa mama, wewe endelea kuvaa t-shirt na kupakiwa kwenye malori huku Abdul akiendelea kujenga majumba ya kifahari na kumiliki chopa binafsi.
muhasisi× = muasisi✓Nakushauri kuwa muulize muhasisi wa NoReNoE ameipata wapi na ilikuwa na dhamila
Message sentmuhasisi× = muasisi✓
dhamila× = dhamira ✓
Makosa haya siyo ya kiuandishi, ni kwamba kichwani hakuna kitu. Kwa utupu huu wa kichwani, nani atapokea ushauri wako?
Boss wa Mpina Mzee Zitto Kabwe yeye haya ya mahakamani hayamuhusu kabisa.?
Mpina chunga, watakufukuza chama maana hujapewa go ahead na chama chako kuja mahakamani...
Ndiyo, yote haya kuna siku yatafika mwisho..., but there has to be a way to end this bullshit sooner than later.Kada wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina amedai kuwa miongoni mwa sababu zilizopelekea 'misukosuko ya kisheria' kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ni kwakuwa anapigania haki, demokrasia na ulinzi wa raslimali za Taifa
Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam alipofika leo, Jumatatu Septemba 15.2025 kwaajili ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Lissu, Mpina amemtia moyo na kusema anaamini mapito wanayopitia 'wadai haki' kwenye nchi yatafika mwisho.
.Actuallu', mi nilichukulia kuwa palikuwepo na 'strategy' nzuri hapo; kwa kujitokeza kwake.Linapokuja suala la kuingia kwenye bahati nasibu ya kuchaguliwa kuwa kiongozi watu wengi brains zao huwa zina-freeze. Brain ya Mpina imeanza kurejea kwenye hali ya kawaida baada ya milango yote ya kuingia kwenye bahati nasibu kufungwa!