Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

Mpina kalipwa na Karamagi...
Ilikuja taarifa hapa Karamagi kawapanga wabunge machachari.
M
Karamagi alikuwa mwana hisa Ticts ambao wameondolewa..dili wamepewa Wengine
Kwani akina Karamagi ndio walikuwa wanaendesha bandari acha upotoshaji mkuu, kupewa bandari na kuendesha konteina ni kitu tofauti
 
Zipo bandari Marekani zinaendeshwa na Dubai ports...je wamarekani wamefilisika?
Mkuu ubaya si DP World, ubaya ni sisi kushindwa kuendesha bandari zetu kwa ufanisi,licha ya serikali kuwekeza matrilion.
Dp World wanayo exposure kubwa which is an advantage.
Lakini wale waliotumia huko nyuma udhaifu wa TPA kujinufaisha watafute nchi nyingine.
 
Shida sio dp world bali kinachopingwa na wengi ni aina ya mkataba ambao serikali imeingia na dp world
 
Kenya na TZ wapi kuna katiba nzuri?
 
Waza ngono huku watu wanapiga pesa mjinga wewe
Mjinga mama yako kuzaa mtoto usiojali mali zawengine nimesema bayana mpina alituonea wavuvi ziwa Tanganyika nakachukua pesa namali zetu aseme alikusanya kiasi gani namali zetu kazipeleka wapi kama ameuza aseme mbwa wewe useless k wewe
 
Mjinga mama yako kuzaa mtoto usiojali mali zawengine nimesema bayana mpina alituonea wavuvi ziwa Tanganyika nakachukua pesa namali zetu aseme alikusanya kiasi gani namali zetu kazipeleka wapi kama ameuza aseme mbwa wewe useless k wewe
Dada matusi yote ya nini?
 
Ni jambo zuri ila tatizo liko kwenye vipengele vya ndani daima ntakumbuka speech ya mama kuhusu kuongezeka kwa invoice ya ndege
 
Zipo bandari Marekani zinaendeshwa na Dubai ports...je wamarekani wamefilisika?

Je terms and condition alizoingia DP world na inchi zingine ni zile zile tulizopewa cc hapa ?

Nyie mnajivunia Huyu bwana kufanya kazi na Inchi zingine kama USA ndio maana mnamkingia kifua , mngeleta mikataba ya huko tuka compare clauses za artcles kwenye mkataba pengine tungeongea lugha sawa.

Kubinafsisha hiyo Bandari sio tatizo , tatizo ni hizo clauses , zinatubinya Mbupu hujapata kuona.

Muda utatukosoa ngoja tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…