PreGE2025 Mpina: Rais Samia jimboni Kisesa tunakudai, wanaosema 'hatukudai' fedha zao zihamishiwe Kisesa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mpina hakutumwa na mtu ndo maana wananchi walimzomea sanaaaa ila wakamshangilia sana Samia.
Hizi kauli zako siku nyingine tutakosea kukutukana,
Nilivyoanza kusoma nikawa nikajawa hasira!!
Wakati nakuchagulia matusi ya kukumwagia, ndipo nikagundua umeandika Kama watu wa Cuba, so ukiwa zero brain bila D mbili Kama watu wa kijani, huwezi kuelewa
 
Wewe ndiye mweka kumbukumbu ya vikao vyote katika kila jimbo?
Akili yako inazidi kudorora tu kadri umri unavyosonga!
Sasa umebaki na mipasho tu.
Huyu mzee ni mraibu wa pombe watoto wake walimpeleka kwenye soberhouse moja Kigamboni kakaa wiki moja tu katoroka hivyo twende naye taratibu ndiyo maana mods nyuzi zake nyingi wanazifuta, dish limeyumba.
 
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amemwambia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa jimbo lake bado linamdai fedha za maendeleo na kwamba maeneo mengine yanayodai hayamdai, fedha zao zihamishiwe Kisesa.

Mpina ametoa kauli hiyo leo, Jumanne Juni 17, 2025, wakati wa mkutano wa hadhara unaofanyika Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, ikiwa ni sehemu ya ziara ya Rais Samia mkoani humo.

Katika hotuba yake, Mbunge huyo amegusia pia changamoto ya ununuzi wa pamba kwa kutumia mnunuzi mmoja, akisema kuwa hali hiyo inapunguza ushindani na inazua matatizo iwapo mnunuzi huyo atapata changamoto za kifedha.

“Ombi la tatu Mheshimiwa Rais, suala la mnunuzi mmoja wa pamba linakwamisha ushindani. Na kule Kisesa bado tunakudai. Wanaosema hawakudai, hawakudai zile fedha zihamishwe zije zote Kisesa sababu bado tuna mipango mingi ya maendeleo katika maeneo yetu,” amesema Mpina

Pamoja na hayo, ametoa pongezi kwa Rais kwa kuunda tume ya maboresho ya kodi, akisema hatua hiyo inaleta matumaini ya kutatua changamoto sugu katika mfumo wa kodi nchini

Je wanaompinga Mpina Bungeni Wana fanya vikao na wapiga kura wao kwamba wambane Mpina , Badala ya kukemea serikali
 
Hizi kauli zako siku nyingine tutakosea kukutukana,
Nilivyoanza kusoma nikawa nikajawa hasira!!
Wakati nakuchagulia matusi ya kukumwagia, ndipo nikagundua umeandika Kama watu wa Cuba, so ukiwa zero brain bila D mbili Kama watu wa kijani, huwezi kuelewa
Ndo maneno wanayopenda kusikia CHAWA wacha tuwape furaha.
 
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amemwambia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa jimbo lake bado linamdai fedha za maendeleo na kwamba maeneo mengine yanayodai hayamdai, fedha zao zihamishiwe Kisesa.

Mpina ametoa kauli hiyo leo, Jumanne Juni 17, 2025, wakati wa mkutano wa hadhara unaofanyika Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, ikiwa ni sehemu ya ziara ya Rais Samia mkoani humo.

Katika hotuba yake, Mbunge huyo amegusia pia changamoto ya ununuzi wa pamba kwa kutumia mnunuzi mmoja, akisema kuwa hali hiyo inapunguza ushindani na inazua matatizo iwapo mnunuzi huyo atapata changamoto za kifedha.

“Ombi la tatu Mheshimiwa Rais, suala la mnunuzi mmoja wa pamba linakwamisha ushindani. Na kule Kisesa bado tunakudai. Wanaosema hawakudai, hawakudai zile fedha zihamishwe zije zote Kisesa sababu bado tuna mipango mingi ya maendeleo katika maeneo yetu,” amesema Mpina

Pamoja na hayo, ametoa pongezi kwa Rais kwa kuunda tume ya maboresho ya kodi, akisema hatua hiyo inaleta matumaini ya kutatua changamoto sugu katika mfumo wa kodi nchini

Sasa hapo kosa la mpina liko wapi??
 
Back
Top Bottom