Eti mdau licha ya kushangiliwa kote 😎😎😎Akaishia kusutwa na vijembe! Nchi ya ajabu sana hii
Mara nyingi alipoweka karatasi pembeni na kuongea toka kichwani, kweli Rais wangu amekuwa akitoka kwenye line vibaya sana. Ningekuwa mshauri wake wa karibu ningemshauri azingatie hotuba ambayo wataalamu wake wanakuwa wameandaa na yeye kuipitia. Nikikumbuka alipozungumzia kifo cha Mzee Ally Kibao, wanaharakati wa Kenya na Uganda, Gwajimazation plus ushetani akiwa na wa KKKT. Sio dhambi kwa kiongozi kusoma hotuba, asome tu.Sasa kama akili hazipo afanyaje 😹 mwanzo nilikua nakerwa kwake kila sehemu anasoma vi memo badala ya kutoa kichwani, ila jana nime amini ni kheri aendelee kusoma vimemo maana aki tumia akili yake ni aibu asee
Afrika tuna tamaduni zetu.Akaishia kusutwa na vijembe! Nchi ya ajabu sana hii
Unamakamasi kichwani haswaaaaaaaaaaaa.Maana hakuna kikao wala mkutano uliotoa azimip la kumdai Rais
Je, alitumwa na nani?
Nimekaa pale 🐼
Kichwani empty hukuti hata ilo kamasiUnamakamasi kichwani haswaaaaaaaaaaaa.
Swali lako zuriMaana hakuna kikao wala mkutano uliotoa azimip la kumdai Rais
Je, alitumwa na nani?
Nimekaa pale 🐼
Ila wasukuma wanapenda sifa za kijinga.Maana hakuna kikao wala mkutano uliotoa azimip la kumdai Rais
Je, alitumwa na nani?
Nimekaa pale 🐼
Huyu anaishi kule Shamba TanangoziMzee kanywe ulanzi tu na hii baridi ya hapa Iringa makoroboi...
Wananchi wa jimbo lake, yeye kama muwakilishiMaana hakuna kikao wala mkutano uliotoa azimip la kumdai Rais
Je, alitumwa na nani?
Nimekaa pale 🐼
🤣🤣🤣🤣Huyu anaishi kule Shamba Tanangozi
Hata akikunwa hakunwi vzuri anawashwa kichwa anaishia kukunwa shingoWewe huwa unawashwa na hakuna wa kukukuna. Hujui yeye ndiye Mbunge wa hilo jimbo? Yeye anajua jimbo lake na matatizo yake, watu wanaenda ofisini kwake, wanamtumia sms, wanampigia simu. Na anayoyaomba Bungeni kama hawajayatekeleza unataka adanganye kuwa hawadai?
Kwani anapokuwa bungeni kuwasemea wapiga kura wake huwa anakutangazia vikao anavyokaa nao kuchukua maoni yao ?Hivi hukuona na kusikia wananchi wake walivyomshangilia na kumchunia huyo mama yenu bingwa wa mipasho? Umejishusha hadi kufikia level ya Lucas Mwashambwa, inasikitisha sanaMaana hakuna kikao wala mkutano uliotoa azimip la kumdai Rais
Je, alitumwa na nani?
Nimekaa pale 🐼
Wewe ni "wananchi" wa Kisesa?Maana hakuna kikao wala mkutano uliotoa azimip la kumdai Rais
Je, alitumwa na nani?
Nimekaa pale 🐼