PreGE2025 Mpina: Rais Samia jimboni Kisesa tunakudai, wanaosema 'hatukudai' fedha zao zihamishiwe Kisesa

PreGE2025 Mpina: Rais Samia jimboni Kisesa tunakudai, wanaosema 'hatukudai' fedha zao zihamishiwe Kisesa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
kwani Mpina anawakilisha mbuzi bungeni.Hukuwasikia waliokuwa wananamshangila?Au kwa vile mama yenu katoa kichambo ndio umeona Mpina kajituma.Acha hizo wewe bendera fata upepo
Kwa spana hizi huyu mzee harudi tena anaenda kujidunga na visungura vyake kisha anaenda kulala.
 
Kwa spana hizi huyu mzee harudi tena anaenda kujidunga na visungura vyake kisha anaenda kulala.
Kwani kazi pekee iliyosalia Duniani ni Ubunge? Hakuna kazi zingine? Hakuna kilimo? Hakuna biashara??
 
Maana hakuna kikao wala mkutano uliotoa azimip la kumdai Rais

Je, alitumwa na nani?

Nimekaa pale 🐼
Acha kujitoa ufahamu

Hujuii Luhanga Mpina ni mbunge WA kisesa ,na amechaguliwa na wananchi wa Kisesa .
Na ni msemaji wa Wanachi wa kisesa ,kupitia kura zao.

Ulitegemea aseme ametumwa na vichawa wenzako.

Mmepigwa kwenye mshono
 
MBONA ALISHANGILIWA NA WATU WALOKUWA WAMEVALIA GWANDA ZA CHAMA? NA ALISHANGILIWA KULIKO ALIVYOSHANGILIWA RAIS
Wananchi wa kisesa wanajitambua wanajua kuwa ccm yao imejaa ibirisi na matendo haramu ya kishetani kuliko kuleta maendeleo
 
Kwa staili hii tusitegemee maendeleo
Utawala wa ibirisi wa ccm hawaleti maendeleo pesa zote wanatumia kuudhofisha chadema wao chadema wanaona ndiyo njia ya kupigia pesa kiwepesi, Wanaandaa Bajeti nyingi za kuua kuihujumu chadema na pesa zote wanakula chawaccm Amos makala na akina Mbowe G55 chauma ubwabwa na vikaragosi wao
 
Alitumwa na Wananchi wa Jimboni kwake, Au Hamkuona walivo kua wanashangilia kuona Mbunge wao anapenyeza kelo zao kwa Rais
 
Back
Top Bottom