PreGE2025 Mpina: Rais Samia jimboni Kisesa tunakudai, wanaosema 'hatukudai' fedha zao zihamishiwe Kisesa

PreGE2025 Mpina: Rais Samia jimboni Kisesa tunakudai, wanaosema 'hatukudai' fedha zao zihamishiwe Kisesa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu anaishi kule Shamba Tanangozi
Kuna mzee mmoja analima ulanzi mzuri sana Tanangozi kwa mbele kuna kijiji kinaitwa KICHAKAZI ndio nlimwona huyu jamaa anakunywa mtogwa....limejaza makamasi kichwani, badala wadeal na ishue za barabara ambazo kweli ni mbovu wanamuataki alosema barabara ni mbovu na ni ukweli...pumbavu kabisa
 
Pale juu kidogo Ihemi ndio kuna Chuo cha UVCCM matunda ya Dr Nchimbi makamu wa Rais ajaye 😁✔️
 
Nimetumwa na wananchi kudai kuhalalisha bangi, maana haina madhara, piga marufuku sigara, shisha na mirungi. Halalisha bangi ewe serikali.
 
Maana hakuna kikao wala mkutano uliotoa azimip la kumdai Rais

Je, alitumwa na nani?

Nimekaa pale 🐼
Anaowawakilisha.
2020 aliwaahidi,sasa leo hajatekeleza aliyowaahidi,mfano deni la taifa hayakuwa makubaliano yao na Wananchi,lkn hivi kuna deni kubwa,sasa kwa nini wasimtume Mpina kusema madai yao kwa Raisi kwa niaba yao eti mpaka kikao ilihali hiyo iko wazi?

Shule zina upungufu mkubwa wa watumishi,idara ya afya nako vilevile,sasa wewe unahitaji kikao kwenye mambo ambayo yanaonwa hata na vipofu?
 
Kwani Mpina Jimbo lake liko mbinguni?, mngemuuliza wapi Bado ili rais akamilishe...angewapa majibu na mngemuongezea pesa za kufanya maendeleo. Tatizo mlitumia mihemko kiasi kwamba mlimpania hata angezungumza jambo lolote mlipanga kumshambulia. Jimbo lile Bado sana na huwezi Sema humdai maana hata zile ahadi za 2020 hazijakamilishwa...na yeye hapendi unafki😂😂
 
Maana hakuna kikao wala mkutano uliotoa azimip la kumdai Rais

Je, alitumwa na nani?

Nimekaa pale 🐼
Wewe ndiye mweka kumbukumbu ya vikao vyote katika kila jimbo?
Akili yako inazidi kudorora tu kadri umri unavyosonga!
Sasa umebaki na mipasho tu.
 
Wamekufa watu wangapi kwenye Ile ajali.

Wamekufa wanne? Mbona wengine wanasema waliokufa ni arobaini ?

Halafu Maria Sarungi anasema labda wapo viongozi pia wakipata ajali kule.

Lakini niseme tu it is irrelevant kama wanafunzi walikufa au waliumia.

Muhimu ni kufahamu tu watu wangapi wamedhurika.

Sasa inakuwa kama vile excitement kubwa dhidi ya Mpina ni kama vile unayaondoa mawazo ya watu kutoka kwenye hiyo ajali
 
Back
Top Bottom