Unajua tulikua tunaona sijui mbilikimo wa mama, mara sijui nini wa mama, tukadhani ni watu walikua wanajipendekeza kumbe upande wa pili ni kweli bwana anapenda huu ujinga hata kwa mambo mabovu hataki kusikia ukweli hata kama ni mchungu kias Gani..kumbe kweli bwana ...🚮🚮🚮Toka nizaliwe sijawahi kuona rais wa hovyo kama wa Sasa yaani rais unakuwa na vijembe ?hovyo sana
Inatokana na trend ya kauli/matukio ya mpina huko nyuma,kosoa serikali kila sikuHalafu baada ya chiefu hangaya kuingia, kampiga za uso kisawasawa.
Nina hakika kama angemsifia, hangaya angefurahi sana
Huyu chief hapendi kuambiwa ukweli, yeye anapenda kusifiwa tu hata pasipostahili
Hakuna aijuaye kesho!!ulimwengu wa siasa anaujua Mungu pekee!!Write your reply...mpina kajibiwa kutokana na uwasilishaji wake wa lugha isiofaa japo ana haki lkn lugha inaakisi kilicho moyoni bye bye mpina kwenye ulimwengu wa siasa
Kwa nini unamuaga Mpina kwenye uga wa siasa!!??Write your reply...mpina kajibiwa kutokana na uwasilishaji wake wa lugha isiofaa japo ana haki lkn lugha inaakisi kilicho moyoni bye bye mpina kwenye ulimwengu wa siasa
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amemwambia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa jimbo lake bado linamdai fedha za maendeleo na kwamba maeneo mengine yanayodai hayamdai, fedha zao zihamishiwe Kisesa.
Mpina ametoa kauli hiyo leo, Jumanne Juni 17, 2025, wakati wa mkutano wa hadhara unaofanyika Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, ikiwa ni sehemu ya ziara ya Rais Samia mkoani humo.
Katika hotuba yake, Mbunge huyo amegusia pia changamoto ya ununuzi wa pamba kwa kutumia mnunuzi mmoja, akisema kuwa hali hiyo inapunguza ushindani na inazua matatizo iwapo mnunuzi huyo atapata changamoto za kifedha.
“Ombi la tatu Mheshimiwa Rais, suala la mnunuzi mmoja wa pamba linakwamisha ushindani. Na kule Kisesa bado tunakudai. Wanaosema hawakudai, hawakudai zile fedha zihamishwe zije zote Kisesa sababu bado tuna mipango mingi ya maendeleo katika maeneo yetu,” amesema Mpina
Pamoja na hayo, ametoa pongezi kwa Rais kwa kuunda tume ya maboresho ya kodi, akisema hatua hiyo inaleta matumaini ya kutatua changamoto sugu katika mfumo wa kodi nchini

Sasa kama akili hazipo afanyaje 😹 mwanzo nilikua nakerwa kwake kila sehemu anasoma vi memo badala ya kutoa kichwani, ila jana nime amini ni kheri aendelee kusoma vimemo maana aki tumia akili yake ni aibu aseeMajibu yetu ni mwendo wa vichambo tupu.
Mpina bye bye bye