Hizi kauli zako siku nyingine tutakosea kukutukana,Mpina hakutumwa na mtu ndo maana wananchi walimzomea sanaaaa ila wakamshangilia sana Samia.
Huyu mzee ni mraibu wa pombe watoto wake walimpeleka kwenye soberhouse moja Kigamboni kakaa wiki moja tu katoroka hivyo twende naye taratibu ndiyo maana mods nyuzi zake nyingi wanazifuta, dish limeyumba.Wewe ndiye mweka kumbukumbu ya vikao vyote katika kila jimbo?
Akili yako inazidi kudorora tu kadri umri unavyosonga!
Sasa umebaki na mipasho tu.
Je wanaompinga Mpina Bungeni Wana fanya vikao na wapiga kura wao kwamba wambane Mpina , Badala ya kukemea serikaliMbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amemwambia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa jimbo lake bado linamdai fedha za maendeleo na kwamba maeneo mengine yanayodai hayamdai, fedha zao zihamishiwe Kisesa.
Mpina ametoa kauli hiyo leo, Jumanne Juni 17, 2025, wakati wa mkutano wa hadhara unaofanyika Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, ikiwa ni sehemu ya ziara ya Rais Samia mkoani humo.
Katika hotuba yake, Mbunge huyo amegusia pia changamoto ya ununuzi wa pamba kwa kutumia mnunuzi mmoja, akisema kuwa hali hiyo inapunguza ushindani na inazua matatizo iwapo mnunuzi huyo atapata changamoto za kifedha.
“Ombi la tatu Mheshimiwa Rais, suala la mnunuzi mmoja wa pamba linakwamisha ushindani. Na kule Kisesa bado tunakudai. Wanaosema hawakudai, hawakudai zile fedha zihamishwe zije zote Kisesa sababu bado tuna mipango mingi ya maendeleo katika maeneo yetu,” amesema Mpina
Pamoja na hayo, ametoa pongezi kwa Rais kwa kuunda tume ya maboresho ya kodi, akisema hatua hiyo inaleta matumaini ya kutatua changamoto sugu katika mfumo wa kodi nchini
Ndo maneno wanayopenda kusikia CHAWA wacha tuwape furaha.Hizi kauli zako siku nyingine tutakosea kukutukana,
Nilivyoanza kusoma nikawa nikajawa hasira!!
Wakati nakuchagulia matusi ya kukumwagia, ndipo nikagundua umeandika Kama watu wa Cuba, so ukiwa zero brain bila D mbili Kama watu wa kijani, huwezi kuelewa
Rais mwanamke tena wa pwani ulitegemea nini?🤣Toka nizaliwe sijawahi kuona rais wa hovyo kama wa Sasa yaani rais unakuwa na vijembe ?hovyo sana
Yaani kuanzia yeye mpaka waandamizi na washauri wake tupa kule....Unaambiwa marekani Wana shida kama sisi 😂🚮
siasa hazipo ivo utakua kila sku unaliaUkiwa mkweli nchi hii unapoteza thamani yako mbele ya Watawala lakini sisi wananchi tunasimama na Wewe.
Ipo siku watu watachoka huu unafiki
Sasa hapo kosa la mpina liko wapi??Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amemwambia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa jimbo lake bado linamdai fedha za maendeleo na kwamba maeneo mengine yanayodai hayamdai, fedha zao zihamishiwe Kisesa.